ram
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,326
- 8,505
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh teh! 😀😀😀😀Kweli we Kiranga teh teh!!Ebitoke atahitaji nasaha hapa ili asijiumize mwenyewe.
Jamaa amelenga pazuri hongera kwake!!Naona wabongo wanatuwakilisha vyema hapo nchi ya jirani
Tafuta hela mkuu utawanasa, pesa ndio kila kitu.Wengine sana sana tunaishia kuotea mademu ambao uwezo wao wa mwisho Ni kutununulia balimi
Hahahah nimekuelewa mkuum afanye uwekezaji asiache hata atua mbili.Hii ni fursa ya kuzidi kuitangaza nchi yetu,apige show ya kibabe sasa nchi ipate sifa
Hana uhuru na inabidi ajishushe sanaHii ni fursa ya kuzidi kuitangaza nchi yetu,apige show ya kibabe sasa nchi ipate sifa
Thats right. Ni raha sana kuwa na independent womanHawa wanawake mimi ndio nawataka.
Mtoto ana sura ana umbo na pesa zake..
Sio mambo ya maslayqueeen wa insta kuombana hadi hela ya pedi
Kweli mjini msingi kiuno......Hii ni fursa ya kuzidi kuitangaza nchi yetu,apige show ya kibabe sasa nchi ipate sifa