Mpenzi wa Ben Pol ni binti tajiri Africa Mashariki

Mpenzi wa Ben Pol ni binti tajiri Africa Mashariki

"" Kabla ya binti huyo tajiri Ben Pol alikuwa kwenye mahusiano na msanii wa vichekesho Ebitoke ""
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Ukiifikiria hii sentence utacheka sana.
Kama nilivyocheka mimi
 
Huyo demu hataweza kuja kuolewa na ben pol, Pen Pol hadi hapo alipo alitakiwa awe na miradi yake inayo eleweka kama diamond, huyo demu atakuwa anamtunza siku atamchoka atampiga chini
Mademu wenye hela Kama hao huwa na kiburi kwenye relationship, wanajiamini kupitiliza, unless awe mtu wa dini na ibada.
Ila uzuri demu anampenda sana Ben
 
Back
Top Bottom