Hahahaha Masikini mpe Umaarufu mnyime Utajiri atamweka chini Tajiri!..saa ya million 600 halafu wanatembelea mark x ya million 14 tena alipewa zawadi na diamond kwenye birthday........anyway kwa akili hizo wacha bashite aendelee kuwatawala dar
Au amekununulia Boksa ambayo ametoa kwenye hela ulizompatiaWenye bahati zao kweli wanabahatika na siyo Sisi wengine ambao ukibahatika kupata Zawadi kwa Demu wako basi jua ni ya Gono au Kaswende pekee kama si na ile ya Dally Kimoko.
Kha! ili iweje? Amnenepesha mchungaji sio, bora azitupe barabarani watu tuokote.Hizo pesa si angepeleka kwa nyumba ya Mungu tu
Una akili finyu kweli wewe..mxiuuKha! ili iweje? Amnenepesha mchungaji sio, bora azitupe barabarani watu tuokote.
Haya! Wewe unaepeleka pesa kanisani ndio unaakili. Wajinga ndio waliwaoUna akili finyu kweli wewe..mxiuu
Ninachoamini ninapotoa sadaka hua ni kama shukrani kwa MUNGU wangu..pole wewe na hzo fikra zakoHaya! Wewe unaepeleka pesa kanisani ndio unaakili. Wajinga ndio waliwao
hahahha hiyo hawatadaiwa mpaka pale watakapo iponda serikali, yaani wasafi wakisema kitu wamempinga mkuu tu watadaiwa vyote dadeki..Na habar za mimba
Akija nayo huku TRA wanamuhusu. Million 600, VAT 18% ni kama m108. Sasa amfahamishe kabisa aliyempa iyo zawadi aje na million 108 mkononi.
Daaah π π π π π π πWenye bahati zao kweli wanabahatika na siyo Sisi wengine ambao ukibahatika kupata Zawadi kwa Demu wako basi jua ni ya Gono au Kaswende pekee kama si na ile ya Dally Kimoko.
Sadaka wape wanyonge na maskini, sio hao wajanja hawataki kufanyakazi wanadhulimu wwnzao tu.Ninachoamini ninapotoa sadaka hua ni kama shukrani kwa MUNGU wangu..pole wewe na hzo fikra zako
Haziitwi risiti sikuhizi zinaitwa Wastara.Upuuzi mtu alete risiti hapa ndio nitaamini
Hata kwa maskin pia hua natoaSadaka wape wanyonge na maskini, sio hao wajanja hawataki kufanyakazi wanadhulimu wwnzao tu.