Mpenzi wa Harmonize amnunulia saa ya milioni 600

Mpenzi wa Harmonize amnunulia saa ya milioni 600

saa ya million 600 halafu wanatembelea mark x ya million 14 tena alipewa zawadi na diamond kwenye birthday........anyway kwa akili hizo wacha bashite aendelee kuwatawala dar
Hahahaha Masikini mpe Umaarufu mnyime Utajiri atamweka chini Tajiri!..
 
$267,525 on the watch
Who said you can't buy time!?!?
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Wenye bahati zao kweli wanabahatika na siyo Sisi wengine ambao ukibahatika kupata Zawadi kwa Demu wako basi jua ni ya Gono au Kaswende pekee kama si na ile ya Dally Kimoko.
Au amekununulia Boksa ambayo ametoa kwenye hela ulizompatia
 
Haya! Wewe unaepeleka pesa kanisani ndio unaakili. Wajinga ndio waliwao
Ninachoamini ninapotoa sadaka hua ni kama shukrani kwa MUNGU wangu..pole wewe na hzo fikra zako
 
Na habar za mimba

Akija nayo huku TRA wanamuhusu. Million 600, VAT 18% ni kama m108. Sasa amfahamishe kabisa aliyempa iyo zawadi aje na million 108 mkononi.
hahahha hiyo hawatadaiwa mpaka pale watakapo iponda serikali, yaani wasafi wakisema kitu wamempinga mkuu tu watadaiwa vyote dadeki..
 
Wenye bahati zao kweli wanabahatika na siyo Sisi wengine ambao ukibahatika kupata Zawadi kwa Demu wako basi jua ni ya Gono au Kaswende pekee kama si na ile ya Dally Kimoko.
Daaah 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
Zawadi ya Gono noma sana mzee.
 
Ninachoamini ninapotoa sadaka hua ni kama shukrani kwa MUNGU wangu..pole wewe na hzo fikra zako
Sadaka wape wanyonge na maskini, sio hao wajanja hawataki kufanyakazi wanadhulimu wwnzao tu.
 
Back
Top Bottom