bee anderson ndo demu wa hasheem na amejifungua baby boy wa thabeet kama miezi miwili iliyopita lakini naona ishu haijawa published kibongo bongo
bee anderson ndo demu wa hasheem na amejifungua baby boy wa thabeet kama miezi miwili iliyopita lakini naona ishu haijawa published kibongo bongo
kumbe alikuwa mtu wa kutoa toa vichapo wakimzingua..? cjawahi kuckia before...!!!ilikuwa published sema jamaa naye siku hizi hana mvuto kutokana na kupiga watu hovyo hovyo kwa jeuri ya pesa watu wamempotezea.
www.nuruthelight.blogspot.com/2014/05/hasheem-thabeet-and-bee-anderson-became.html?m=1
kumbe alikuwa mtu wa kutoa toa vichapo wakimzingua..? cjawahi kuckia before...!!!
muulize TID alichomfanya pale bills...
TID zamani sana toka 2010 huko
Jokate?
Mimi ni mrefu ila urefu wa Hashimu ukitaka kuchapana naye kwa kweli lazima uwe na technics sana au umepitia mchezo wa martial arts.hata ingekua 1992 si alimpiga...
Mimi ni mrefu ila urefu wa Hashimu ukitaka kuchapana naye kwa kweli lazima uwe na technics sana au umepitia mchezo wa martial arts.
Jokate?
Kumchapa mtu anayekuzidi urefu ni rahisi kuliko unavyofikiria. Ungekuwa mfupi ungenielewa kirahisi.Mimi ni mrefu ila urefu wa Hashimu ukitaka kuchapana naye kwa kweli lazima uwe na technics sana au umepitia mchezo wa martial arts.