Mpenzi wa Hasheem Thabeet amejifungua

Mpenzi wa Hasheem Thabeet amejifungua

ericford

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
265
Reaction score
68
Bee Anderson ndio mpenzi wa Hasheem na amejifungua baby boy wa Thabeet kama miezi miwili iliyopita lakini naona ishu haijawa published kibongo bongo
 
bee anderson ndo demu wa hasheem na amejifungua baby boy wa thabeet kama miezi miwili iliyopita lakini naona ishu haijawa published kibongo bongo

ilikuwa published sema jamaa naye siku hizi hana mvuto kutokana na kupiga watu hovyo hovyo kwa jeuri ya pesa watu wamempotezea.

www.nuruthelight.blogspot.com/2014/05/hasheem-thabeet-and-bee-anderson-became.html?m=1
 
Mimi ni mrefu ila urefu wa Hashimu ukitaka kuchapana naye kwa kweli lazima uwe na technics sana au umepitia mchezo wa martial arts.

Eti eeh?kumbe tungempeleka jumuia za madola kama bondia tungepata kimedani cha kufutia machozi
 
Mimi ni mrefu ila urefu wa Hashimu ukitaka kuchapana naye kwa kweli lazima uwe na technics sana au umepitia mchezo wa martial arts.
Kumchapa mtu anayekuzidi urefu ni rahisi kuliko unavyofikiria. Ungekuwa mfupi ungenielewa kirahisi.
 
Back
Top Bottom