Mpenzi wa JF!!

Hongera sana sasa kaa mbali na kazi za nje kuwa busy na kazi za ndani mpango mzima.

Alikuwa kwenye kitubio mchungaji
Sasa kazi za nje sindo zinaleta maendeleo?Sitaki baba mchungaji aelemewe na majukumu!
 
Uzuri na yeye hataki wewe upate tabu wewe ukiwa zenji kazi yako kupika na kupakua
Basi ntajitahidi..kupika,kupakua,kulisha,kuogesha ndo kazi zangu mpya kwanzia sasa!
 
Ameona nimesha elemewa na kausingizi tayari.

Angalia hawa jamaa watakao amka mda si mrefu wasije wakakupotosha

Basi kapumzike!Ahh baba mchungaji yupo sidhani kama watakua na ujasiri huo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…