Elia
JF-Expert Member
- Dec 30, 2009
- 3,425
- 568
Kwi kwi kwi kwi navaa soksi viatu vya nini tena?
Ah kumbe nili danganywa waliniambia unatembea peku kabisa!!! teh teh teh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwi kwi kwi kwi navaa soksi viatu vya nini tena?
inshallah umpate..... halafu mtujulishe eeeehh???
Mapenzi ya keyboard yananoga sana. Angalia lizzy usije ukamsahau shemeji.
Naona watu wengi wanatangaza nia. Na mimi sijui nitangaze...!! Lol
Haswa, mzizi wa mpapai!Nini tena?Limbwata?
Mapenzi ya keyboard yananoga sana. Angalia lizzy usije ukamsahau shemeji.
Naona watu wengi wanatangaza nia. Na mimi sijui nitangaze...!! Lol
Huko Unga limited unakoishi hakuna mwanaJF. Hebu mPM PakaJimmy a do the needful.
Kama mimi nna miaka 37.5 ndo imekula kwangu japokuwa vigezo vyote vimenikubali? (Nna mashaka kama kweli unatafuta mpenzi wa kwenye keyboard huku ukiweka limitations za umri)... Kwa sisi tuliozaliwa Ocean road enzi hizo tunasema: STUKA!!
Kwa hiyo kama umri si kigezo, waweza kunikubali mie? I em onle 56 yiaz old, single babu.
Kila siku watu wanazidi kutafuta wenzi humu!Wengine wanataka kuoa kabisa...wengine kuondoa upweke..sasa na mimi natafuta wangu leo wapendwa!Natafuta mkaka awe mpenzi wangu wa JF..yani mambo yote yanaishia humu humu!Vigezo:1.Umri usipungue 20 tu..sitaki mtoto mie! 2.Elimu haijalishi...maadam kutype JF anaweza sihitaji cheti! 3.Sura..umbo sijali! 4.Kigezo muhimu awe mcheshi..mwenye furaha ..na good sense of humour ili tuondoane mastress ya nyuma ya pc!Nawakilisha....!
Umeharibu hapo kwenye RED!
Lakini hata hivyo CHEMBE NA CHEMBE MKATE HUWA....Fungulia PMbox yako mapema ...utachoka nao.!
Kila siku watu wanazidi kutafuta wenzi humu!Wengine wanataka kuoa kabisa...wengine kuondoa upweke..sasa na mimi natafuta wangu leo wapendwa!Natafuta mkaka awe mpenzi wangu wa JF..yani mambo yote yanaishia humu humu!Vigezo:1.Umri usipungue 20 tu..sitaki mtoto mie! 2.Elimu haijalishi...maadam kutype JF anaweza sihitaji cheti! 3.Sura..umbo sijali! 4.Kigezo muhimu awe mcheshi..mwenye furaha ..na good sense of humour ili tuondoane mastress ya nyuma ya pc!Nawakilisha....!
eeehhh, Lizzy's New year resolution wajameni.
PJ, huenda kwenye nyekundu anamaanisha hata nje ya PC labda waendelee kujuana ki JF na kuitana majina ya ki-JF bila kutafutana undani zaidi.
Kila siku watu wanazidi kutafuta wenzi humu!Wengine wanataka kuoa kabisa...wengine kuondoa upweke..sasa na mimi natafuta wangu leo wapendwa!Natafuta mkaka awe mpenzi wangu wa JF..yani mambo yote yanaishia humu humu!Vigezo:1.Umri usipungue 20 tu..sitaki mtoto mie! 2.Elimu haijalishi...maadam kutype JF anaweza sihitaji cheti! 3.Sura..umbo sijali! 4.Kigezo muhimu awe mcheshi..mwenye furaha ..na good sense of humour ili tuondoane mastress ya nyuma ya pc!Nawakilisha....!
.................Lizzy bana, mbona unakuwa hivyo...nimekuomba msamaha kuwa sitarudia, lakini bado hutaki....nipe adhabu kuliko kuja JF kutaka mtu wa kukupunguzia stress....Sorry my Lizzy.............Baba Mkubwa
BM we ulitaka niendelee kusononeka tu????Tatizo lako huwezi kubadilika...kila siku ahadi tu!!!!
Nakubeba mgongoni??au unamaanisha nini??maana sioni kazi ukuje mumy lizzy.Kakakiiza mi nimehama kwa wazazi zamani!Utaniweza?