Mpenzi wa JF!!

Mpenzi wa JF!!

Elia...MM...Wezere asanteni kwakunipenda..na mimi nawapenda pia ila naona niende kwa mchungaji maana taito ya Mama mchungaji nimeitamani muda mrefu kweli!Mambo yasipokua mazuri huko labda ntatafuta mpango wa kando...hopefuli mtakua availabo!
 
Oh samahani mkuu kumbe nimetumi siraha kubwa sana! akinitosa sitaumia sababu ya vitz ila nimempenda kweli, hela majaaliwa mimi nina mpatie vyote atakavyo sababu ya lv Mura. Ila inaonyesha hana gharama.

ahsante kwa kunielewa kiogozi, bibie hana gharama kubwa kihivyo. siunaona ameshatangaza nia kwa mchungaji pamoja na mchungaji kujaribu kumbania lakini wapi bwana mtoto kaamua kubwaga moyo.

Lakini mchungaji inakuwaje unataka kuchakachua kondoo wako, mi nilikuomba utufungishe ndoa lakini ghafla umevaa vazi la bwana harusi.
 
Ukikutana na kanzu nzuri inakuendeza wewe inunue tu Muraaaaaaaaaaa
 
Mimi nipotayari kwani bandu bandu umaliza gogo leo sebleni kesho chumbani pls nipoint mimi!!
 
Kila siku watu wanazidi kutafuta wenzi humu!Wengine wanataka kuoa kabisa...wengine kuondoa upweke..sasa na mimi natafuta wangu leo wapendwa!Natafuta mkaka awe mpenzi wangu wa JF..yani mambo yote yanaishia humu humu!Vigezo:1.Umri usipungue 20 tu..sitaki mtoto mie! 2.Elimu haijalishi...maadam kutype JF anaweza sihitaji cheti! 3.Sura..umbo sijali! 4.Kigezo muhimu awe mcheshi..mwenye furaha ..na good sense of humour ili tuondoane mastress ya nyuma ya pc!Nawakilisha....!

Duh! New JF still evolving . . . .

Superman still looking for people to save . . . .
 
Elia...MM...Wezere asanteni kwakunipenda..na mimi nawapenda pia ila naona niende kwa mchungaji maana taito ya Mama mchungaji nimeitamani muda mrefu kweli!Mambo yasipokua mazuri huko labda ntatafuta mpango wa kando...hopefuli mtakua availabo!

Mi najua maisha ya mama mchungaji hutoyaweza lakini kwa kuwa umeamua kujaribu, nakutakia kila la kheri baby, jaribu kuwa mvumilivu na uishinde nafsi yako.
Kutoka bar counter hadi kanisani sio jambo jepesi. Lakini usitupotezee mawasiliano, nitakuwa available kwa muda wa miezi mitatu ya matazamio. ukiweza kumudu zaidi ya hapo basi naingia msituni upya.
 
ahsante kwa kunielewa kiogozi, bibie hana gharama kubwa kihivyo. siunaona ameshatangaza nia kwa mchungaji pamoja na mchungaji kujaribu kumbania lakini wapi bwana mtoto kaamua kubwaga moyo.

Lakini mchungaji inakuwaje unataka kuchakachua kondoo wako, mi nilikuomba utufungishe ndoa lakini ghafla umevaa vazi la bwana harusi.
Hahaha!Umenifurahisha!Eti ghafla kavaa vazi la bwana harusi!Alafu mpe Elia ukweli...pesa zinaisha mapenzi ya kweli ndo kila kitu!
 
Elia nshamalizana nae hadi amenielewa, tatizo Mchungaji, amekomaa hadi kimeeleweka.

Pamoja na kukupendaga sana lakini imebidi nimheshimu mchungaji wangu, ingawa najua nawewe umemkubali kwa sababu ya protocol tu, chaguo la ukweli ni mimi.
 
Mi najua maisha ya mama mchungaji hutoyaweza lakini kwa kuwa umeamua kujaribu, nakutakia kila la kheri baby, jaribu kuwa mvumilivu na uishinde nafsi yako.
Kutoka bar counter hadi kanisani sio jambo jepesi. Lakini usitupotezee mawasiliano, nitakuwa available kwa muda wa miezi mitatu ya matazamio. ukiweza kumudu zaidi ya hapo basi naingia msituni upya.
Yani ingekua sio mchungaji ningekuchagua wewe MM!Yani atakae kupata atakua amebahatika!
 
Elia...MM...Wezere asanteni kwakunipenda..na mimi nawapenda pia ila naona niende kwa mchungaji maana taito ya Mama mchungaji nimeitamani muda mrefu kweli!Mambo yasipokua mazuri huko labda ntatafuta mpango wa kando...hopefuli mtakua availabo!

Hii imekua mbaya kwangu moyo ulisha dondokea hapo! itanibidi ni post yangu ili niwe na uhuru wa kuchagua. Ah ngoja nikapoteze mawazo pub MM kazana unaweza mpindua huyo Rev! Tatizo mijitu mingine inatanguliza maombi!!!!! :redfaces:Sorry rev:redfaces:
 
Elia nshamalizana nae hadi amenielewa, tatizo Mchungaji, amekomaa hadi kimeeleweka.

Pamoja na kukupendaga sana lakini imebidi nimheshimu mchungaji wangu, ingawa najua nawewe umemkubali kwa sababu ya protocol tu, chaguo la ukweli ni mimi.

Kabisa!We baki ukijua unapendwa!
 
Back
Top Bottom