Mpenzi wa JF!!

Mpenzi wa JF!!

Asanteni wote kwa ushirikiano....natangaza rasmi nimempata Asprin kwahiyo maombi hayapokelewi tena!😛arty:
Ila kama ana mwenyewe ajitokeze mapema isije kua tafrani baadae!!!!
 
Nimempiga kibuti tayari!!!Alafu kama ni wivu ndo kabisaaa mapenzi yananoga!!!

Hapo sasa ndio nimekupendea, yani kwa jinsi ulivyo mwanamke msikivu, nadhani mambo yangu yatakuwa mswano kuanzia sasa.
Siunajua kale ka msemo ketu, kwenye mafaniko ya mwanamume pembeni kuna mwanamke.

Sasa naomba uwatangazie wadau rasmi, hasa Asprin kwamba tayari umeshampata uliyekuwa unamtafuta.

Nimefurahi sana kuanza vizuri mwaka 2011 na kifaa kipya, i lav yu mai swit hat.
 
Asanteni wote kwa ushirikiano....natangaza rasmi nimempata Asprin kwahiyo maombi hayapokelewi tena!😛arty:
Ila kama ana mwenyewe ajitokeze mapema isije kua tafrani baadae!!!!

Asprin ni Mzee wa Pwani! wana sema ana mzigo hahahahahaha
 
Hapo sasa ndio nimekupendea, yani kwa jinsi ulivyo mwanamke msikivu, nadhani mambo yangu yatakuwa mswano kuanzia sasa.
Siunajua kale ka msemo ketu, kwenye mafaniko ya mwanamume pembeni kuna mwanamke.

Sasa naomba uwatangazie wadau rasmi, hasa Asprin kwamba tayari umeshampata uliyekuwa unamtafuta.

Nimefurahi sana kuanza vizuri mwaka 2011 na kifaa kipya, i lav yu mai swit hat.

Uwiiiiii....mbona nishajikabidhi???Ngoja nichakachue matokea!!!:embarrassed:
 
Nadhani Asprin atakuwa amekusoma vizuri, manake anasifika kwa kusoma katikati ya mistari,huu mstari mmoja hutamshinda.

btw; Ahsante Rev Masa kwa kunisaidia kumg'oa Asprin, lakini kwakuwa wewe ni Rev. basi naamini utaridhia kwa moyo mkunjufu kufungisha ndoa ya MM na Lizzy, nadhani hakuna wivu hapo.
 
Duh! hapo patamu na mimi niingize kwenye kinyang'anyiro lol, love la mtandao ndo mpango mzima no stress
 
Ahhh we sikutaki!!Unaonekana mchoyo kweli....hujawahi kutoa Thanks hata siku moja!!?
 
Back
Top Bottom