Mpenzi wa jinsia mbili anatafutwa.

Mpenzi wa jinsia mbili anatafutwa.

Status
Not open for further replies.
tooooba toba toba ukisha mpata kazi yake nin????binadamu hamuishiwi vihoja
 
Habarini za wakati mimi ni mwanaume nina umri wa miaka 28,natafuta mpenzi wa kike hasa awe na jinsia mbili ila ya kiume iwe haipo active na kama ipo active awe tayar kufanyiwa upasuaji kabla ya mahusiano....nipo arusha-dar.karibu pm,pia kama wew ni mwanamke miaka 35+ na upo single karibu pm...single mom welcome.

Sent using Jamii Forums mobile app
Idadi ya wanawake inazidi kuongezeka. Itabidi sheikh kipoozeo alete hoja mpya.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom