Mpenzi wa kiume anahitajika

Mpenzi wa kiume anahitajika

ok, jaman nimeshindwa . asanteni lakini kwa kunisupport na kunitia moyo bila kusahau walionipondea. mbarikiwe wote.
 
Nina miaka 24, nina degree, ni miss miss. Natafuta mpenzi mwenye elimu, mtaarabu, asiwe mnene, awe na mapenzi ya kweli.

ni PM tafadhali.
Ni pm please tuone kama tunaweza kuyajenga,kwa maelezo zaidi kuhusu mimi tutaongea prvate!
 
Mpenz anapatikana popote, huyohuyo wa mtaani ndo atakuwa jamii forum, kuna mwenye vigezo pia lakin yupo mbali, kwani ni nini maana ya love connect? inakuwaje mtu anatafta mpenz /rafiki af mwingine aanze kumpondea? we should think big sometimes.
Mbona we dume?haya nime ku.pm hivyohivyo tayari
 
Nina miaka 24, nina degree, ni miss miss. Natafuta mpenzi mwenye elimu, mtaarabu, asiwe mnene, awe na mapenzi ya kweli.

ni PM tafadhali.
Anaweza kuwa si mnene kwa sasa lakini akanenepa baadaye. Think again...
 
Hebu ni pm picha zako nikuone kwanza,then mambo mengine yatafata
[emoji2] [emoji2] [emoji2] hili neno mademu wengine hawafai utalitongoza ukijua kiboko kumbe sura hailipi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
68c3e43d78eac7f60b1616bd712e2d28.jpg
 
Back
Top Bottom