Mpaka leo hujapataok, jaman nimeshindwa . asanteni lakini kwa kunisupport na kunitia moyo bila kusahau walionipondea. mbarikiwe wote.
Ni pm please tuone kama tunaweza kuyajenga,kwa maelezo zaidi kuhusu mimi tutaongea prvate!Nina miaka 24, nina degree, ni miss miss. Natafuta mpenzi mwenye elimu, mtaarabu, asiwe mnene, awe na mapenzi ya kweli.
ni PM tafadhali.
Mbona we dume?haya nime ku.pm hivyohivyo tayariMpenz anapatikana popote, huyohuyo wa mtaani ndo atakuwa jamii forum, kuna mwenye vigezo pia lakin yupo mbali, kwani ni nini maana ya love connect? inakuwaje mtu anatafta mpenz /rafiki af mwingine aanze kumpondea? we should think big sometimes.
Anaweza kuwa si mnene kwa sasa lakini akanenepa baadaye. Think again...Nina miaka 24, nina degree, ni miss miss. Natafuta mpenzi mwenye elimu, mtaarabu, asiwe mnene, awe na mapenzi ya kweli.
ni PM tafadhali.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] hili neno mademu wengine hawafai utalitongoza ukijua kiboko kumbe sura hailipi [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hebu ni pm picha zako nikuone kwanza,then mambo mengine yatafata