Mpenzi wa kizungu

Mpenzi wa kizungu

Uko tayar kulala na mbwa wangu hapa nyumban mie mzungu sema mchovyo
 
Habari wana JF-MMU
Mimi ni ME mwenye umri kati ya miaka 22-25 natafuta mpenzi wa kike ambaye si mweusi wa rangi namaanisha awe either mzungu, mwarabu, mchina au mhindi. Kwa yeyote aliyetayari ani PM.
unatafuta mwanamke mwenye mapenzi kwako? au unatafuta rangi ili ubadili ladha? au bado una imani za zamani ukioa mtu mweupe mambo yako yanakuwa bomba?
 
Mrangi vipi?
 
Mambo yangu si mabaya yapo kati, ila sipendi watu weusi wana uswahili mwingi.
 
Mbona hiyo ni tabia tu na inaweza kurekebishika?
Anyway kila la kheri!!
Ila Tambua
1. Mzungu atakuona masikini na unamtafuta ili akusaidie.
2. Mhindi mama ndio mwenye usemi wa mwisho!! mbantu utaweza???
3. Mwarabu inategemea na itikadi ya familia yake na kaka zake wanavyokuchukulia ila mara nyingi hawapendi kuolewa nje ya circle yao.
Kila la kheri
 
Halafu unawatafuta kwa lugha ya kiswahili? Utawapata waliojichubua
 
Habari wana JF-MMU
Mimi ni ME mwenye umri kati ya miaka 22-25 natafuta mpenzi wa kike ambaye si mweusi wa rangi namaanisha awe either mzungu, mwarabu, mchina au mhindi. Kwa yeyote aliyetayari ani PM.
Boss vp
 
Back
Top Bottom