Mpenzi wa kutalii naye.

Natafuta mpenzi (mwanamke) wa kutalii naye ndani ya nchi, mara 1 au 2 kwa mwaka kwa muda wa wiki 1 au 2 kwa kila safari, awe na umri miaka 27-45, mimi ninamiaka 36.

Daaah, sijakupata sawa sawa, yaani huyo dada mtakuwa mnakutana naye mata 1-2 tu kwa mwaka?
 
hv kasema pocket money sh ngapi? maana naitaji advance nikanunue vipedo vya tour!

Hivi ni wewe unaenda au mimi......maana nimeshamuwahi ujue......
 
Kutalii kwenyewe ni Dodoma....awah nipishe mie

ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
Kwani ushafika Dodoma kwenyewe?
Ushaenda mnadani kula mbuzi wewe?
Area C unapajua vizuri?
Nane nane viwanja pale ushafika Nkuhungu wewe?
Nenda kale raha bhanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
aksante mkuu, narekebisha.
 
Tunaenda wapi na wapi......? Mi nakuja......gharama zote juu yako eeeeehh.......!!?

pole pole Preta, ni Pm tupange, tukipangia kwenye kadamnasi watu aina ya The boss au Mrembo by nature wataingilia na kuvuruga mipango.
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
Kwani ushafika Dodoma kwenyewe?
Ushaenda mnadani kula mbuzi wewe?
Area C unapajua vizuri?
Nane nane viwanja pale ushafika Nkuhungu wewe?
Nenda kale raha bhanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Mkuu, watu wengine wanafikiri kutalii ni kwenda nchi za nje au kwenda maeneo ya gharama, hawajui kama unaweza kwenda kutalii hata ndani ya nchi au mkoa wako.
 
Mkuu, watu wengine wanafikiri kutalii ni kwenda nchi za nje au kwenda maeneo ya gharama, hawajui kama unaweza kwenda kutalii hata ndani ya nchi au mkoa wako.

Tunajua hilo bwana....hakuna jipya TZ hata nitalii...LOL
 
chezeya utalii wa ndani......hebu sema sehemu zipi naweza hamasika
 
Tunajua hilo bwana....hakuna jipya TZ hata nitalii...LOL

Unataka kuniambia unaijua Tz yote na jinsi watanzania wote wanavyoishi pamoja na shughuli zao, na je, umekwisha shuhudia kila aina ya uzalishaji hapa Tz? Iwe kiwanda, ukulima, uwindaji au uvuvi? Kama bado hayo mambo yanaweza kuwa mapya kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…