Mpenzi wa kutoka nae x.mass

Mpenzi wa kutoka nae x.mass

Kendk

Member
Joined
Dec 15, 2021
Posts
17
Reaction score
16
Kama uko single umri usozidi miaka 35 kuna ofer ya kutoka na mimi siku ya x.mas na siku zijazo
Uwe njanda za juu kusini mikoa ya iringa mbeya na sumbawanga. Karibu pm
 
Siku zote hua unatoka na nani?


Sikukuu kua karibu na familia yako uenjoy nao na pia mjadili mustakbali wenu na kuchanganua mwaka huu umefanya nini na mwakani mtafanya nini.
 
Back
Top Bottom