Tutaenda Dubai au?
ππππ jamanii we ushapata wa kutoka nae thikukuuuKwenda Dubai ungefuatwa PM Dina....
Weee hakunaHaaa haa dubai Kuna corona
ππππ jamanii we ushapata wa kutoka nae thikukuuu
Nami natafuta [emoji4][emoji4], lakini mi siendi Dubai
Ehee unaenda wapi?
Tunaenda kwa bibi kula mbuzi siku 2
Utakuwa na yuleeeeeee ππ½ππ½Mjini tu hapa Dina, uzee huu niende wapi kipenzi?
Utakuwa na yuleeeeeee ππ½ππ½
ππHahah...umenifanya nitabadamu huku nikiwaza huyo yuleeee ni nani
We ke au me?Kama uko single umri usozidi miaka 35 kuna ofer ya kutoka na mimi siku ya x.mas na siku zijazo
Uwe njanda za juu kusini mikoa ya iringa mbeya na sumbawanga. Karibu pm
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Weka namba zako offer ikatangazwe group langu la malaya nyanda za juu kusini
Hamna mbuzi pale Bora pale liliondo karbu na NIDAUmenikumbisha mbuzi wa Kibamba....