Mpenzi wa kwanza

Mpenzi wa kwanza

Mlupembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2014
Posts
445
Reaction score
214
Habari waungwana hebu tushare hili.

Ulimpataje mpenzi wako wa kwanza?

Ulikuwa na umri gani ?

Me mpenzi wangu wa kwanza nilimpata nikiwa form one akiitwa pendo , yeye akisoma la saba!

Nilimsindikiza rafiki yangu Amani kwenda kusex na mpenzi wake tulizo , kufika ikabidi watuache kwenye chumba cha kaka yake afu wao waende kwenye geto jingine tukabaki wawili , aah mi nkajitutumua nkamwambia nakupenda akachomoa mno mpaka nikamuita amani anisaidia akaja akamseama weee pendo akakubali nikasex nae tangu hapo sikurudi nyuma nikawa balaa mpaka sasa nimepatamke nimetulia. Je wewe boyz or girls ? Whatz hapen ?
 
Habari waungwana hebu tushare hili.. Ilimpataje mpenzi wako wa kwanza , ukiwa na umri gani ? Me mpenzi wangu wa kwanza nilimpata nikiwa form one akiitwa pendo , ye akisoma la saba ! Nilimsindikiza rafiki yangu Amani kwenda kusex na mpepenzi wake tulizo , kufika ikabidi watuache kwenye chumba cha kaka yake afu wao waende kwenye geto jingine tukabaki wawili , aah mi nkajitutumua nkamwambia nakupenda akachomoa mno mpaka nikamuita amani anisaidia akaja akamseama weee pendo akakubali nikasex nae tangu hapo sikurudi nyuma nikawa balaa mpaka sasa nimepatamke nimetulia. Je wewe boyz or girls ? Whatz hapen ?
CYBERTEQ njoo huku
 
Last edited by a moderator:
kwa waliofeli nna darasa la ufundi magari welding umeme wa majumbani namna bora ya kunyoa,masaji,kutengeneza nywele na upishi. ni PM kwa mawasiliano zaidi haswa akina dada na vibinti ukimaliza masomo unapata kazi hapo hapo na field unafanyia ulaya.
cc: TATIANA , Evelyn Salt
 
Last edited by a moderator:
kwa waliofeli nna darasa la ufundi magari welding umeme wa majumbani namna bora ya kunyoa,masaji,kutengeneza nywele na upishi. ni PM kwa mawasiliano zaidi haswa akina dada na vibinti ukimaliza masomo unapata kazi hapo hapo na field unafanyia ulaya.
cc: TATIANA , Evelyn Salt

Hahaahaaa... Mi nakuja kujiunga na Kozi ya masaji. Halafu hujasema ulaya tutaenda field kwa muda gani
 
Last edited by a moderator:
nilimpata nikiwa kidato cha tatu na mbaka sasa niponae
 
Tuctake kudanganyana jaman hayo mambo ya kukumbuka hadi cku ya kwanza kukutana huwa wanayo sana wanawake
 
Darasa la saba ulikuwa unajua hata kazi ya wanamme kwa wanawake?

Mie nilikuwa bize napanda miti na kuruka sarakasi kwenye mchanga.

Huyo pendo natamani kujua alipewa maneno gani mpaka akasalimu amri.
 
Back
Top Bottom