suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 196
Hahahahaa, sijaona yako mpendwa, shusha hapa fastaaa!
Ahhhhhha mm wakat najiandaavkwenda chuo ndo nikmapata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaa, sijaona yako mpendwa, shusha hapa fastaaa!
Ahhhhhha mm wakat najiandaavkwenda chuo ndo nikmapata
hahahahahaa, nimeeheka balaaa! inamaana mpaka umemaliza fomu sita ulikuwa haujaonja mashine? watu mna saundi!
Ahhahha uko attention mwaya ahhahhahhhhahha sasa unashangaa hivo nina.two years sjui yanafananaje hayo maumbile hata sijishughulish pia kujua
Lol, maneno yako ya two years niliyashtukia toka siku ileeee kwenye ile thread, bado unayo tu?!labda kama una upungufu wa nguvu za kike...lol!
Heheeheeee nakuapia kwa nin nkuongopee bwana me najijua halaf sio yule kila mtu anavulia chupi lol maradhi mengi
Teh teh, mi sijasema kila mtu, mwisho wa siku lazima una kichaka chako ukifika lazima ujisaidie! mambo haya acha tu nduguyangu hayanaga mjanja!
Ahhhha ndo kusemaaa
Hahahaa, ndiyo kusema na wewe unacho kichaka chako, ila tu ni siri yako!
Sina kichaka wala msitu
hahahaa, acha zako wewe, nifuate inbox nihakikishe kama ni kweli!
Maelewano.....vip gharama yake.
Ada shs ngapi?
siku hizi wanafaulu wote bila twisheni hata. Labda ufungue darasa la MEMKWA