adriz uhali gani ??
Jana uliropoka sana sijui sina akili kosa sijui ni id ya dada maua sijui halafu huyo dada ni mimi kwa hiyo ulijua tu mimi hamnazo.
Firstly , unanijua vizuri umenionea wapi .
Secondly, mf.nikachukua hiki ulichokiandika nikapeleka mahakamani ukiweke ushahidi kuwa mimi nikichaa unayo makaratasi ??
Sema tu ...
Mimi sijawahi kukufuata nakukuonyesha nakutaka hapana .
Jingine wewe ndio mazoea umeyaanza kwangu nikashangaa ila nikaona ngojaa niitikie basi.
Wewe ni mjinga kwanini unahangaika na maisha yamtu humjui halafu mbaya zaidi unahangaika na mwanamke hadi picha umetoa eti ni mimi nafanana na huyo baba what are you implying??
Chakushangaza sijakufuata umenifuata wewe halafu unaongea wewe na kichaa wa humu mimi ninachoshangaa nimekuwa treated to all of stupid people in here including you.
Acha mazoea basi kaa kimya usiendele na ujinadi unanimudu .
Wafuate walionaakili ambao unawajua .
Kwa sasa jione unaright but tomorrow nitahitaji ushahidi kwa hili.