Mpenzi wa zamani (My LOVE)

Utachoka bure dada, humu kuna ID ambazo hazina cha kupoteza, yaani kama ni majibizano Utachoka tu
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Huyo kichaa chake mi ndo huwa namtibia kama wewe..!!
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Hiyo lini hiyoooo
 
leo dada hata wewe unasema mie sijui naitwa da mau??
Ndio nani??
Halafu mwenzako kinamuuma anachanganyikiwa akiona tunahongwa na yeye anahonga lazima akili isome .
YEye ni head offficer wa jamii forum ni yeye akubali hatima yako hukuhii ni maajabu
Wewe ni da Mau bana, li mwandiko lako kama bata hulioni? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Na kesi zako za wanaume kukuroga na kupendwa na vibabu ni zile zile..!!
 
Hayo yote tuachane nayo tu deal na kusaka mabwana wenye pesa, tujuwe kuwapagawisha watoe sasampa
Mwenzio anazoazoa vibabu vinavyojinyea na wewe unataka kuungana naye? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Da Mau hiki kinge umekitoa wapi ikiwa kiswahili kinakushinda kutype? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Mimi nikitaka bikira wewe inakudhuru wapi?
Subiri wasiotaka bikira wapo wengi sana watakuchukua tuu usijali.

Mtazamo wako unakudhuru vipi wewe. Kwani unanijua? Unakupunguzia kipato? Unakupunguziwa nini hasa?
Yamekukuta leo ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Huyu angejua tunalichokoza makusudi kupoteza muda lingetulia.!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Hili ni tangazo lililokaa kinamna flani hivi
 
Anko tunaisubiri ujibu shambulizi, hamna kukimbia๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ