Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Mambo ni haya ✌️ tu, bhaassshhh kwishaaaaaaaaSalama Dada sijui wewe , hili gazeti lako kimenichekesha sana , I find this amusing 😂
Jf ni sehemu ya mizaha ukichukulia seriazi kila kitu hapa Jf utajitafutia stress za bure , binafsi siwezi kuchukulia personal mambo ya fake ID kiasi cha kuumizwa sana mpaka Kuja na povu kiasi hiki ulichotoa. Na ukichunguza post zangu nyingi za mizaha sikuwa siriazi
Je , kwa nini nimekuwa nakuletea mizaha wewe humu Jf nowadays ?
Ukiwa mhalifu kuwa na kumbukumbu, unakumbuka uliniletea mizaha tena kwenye Imani yangu binafsi uliniTag na kuniMock nikakausha bila kukujibu , Sasa kwa nini nimeanza kukutania wewe kidogo tu unakuja na gazeti
VAR
Haya sio masihara uliyoniletea eti nikabatizwe , unajua ulinikwaza kiasi gani nikakupuuza ?
Hapa nilikuwa sikujui na sina matani na wewe
View attachment 3704051
Nikisema niwe seriazi na wewe Kukumock kama ninavyodili na Manyangwisi wakina Maghayo loose Nut si utaniona mbaya kabisa maana nakuwa mkatili siwi simple hata kidogo .
Bahati nawaheshimu sana Wanawake, misimamo wangu sipendi ugomvi ، mizozo na kuwadhalilisha Wanawake ila ulivyoAttack Mimi personal na Imani yangu ingekuwa Mwanaume ingekuwa tayari nishafungulia Ballistic missiles zangu kama mvua vile
Hana hela. 🤣 Nimecheka mpaka basi, mtibeli kayavagaa🤣🤣🏃Sijasema unichukue kwa ziki gani niliyonayo nikukubali hahaaa humu mnaona watu wanAshida ya wanaume eh . Ukibakia wewe tu duniani watu wengi watabakia single kwanza huna hela pili unaringa sana .
Kwa mwanamke anayejitambua kukubalia ndoto
Una Manisha huyu ana ...........................😹😹😹 Sijui leo dawa kanywa au ndo bado kaamua kuisambaza mifugo yake..!!
Nimestuka mapema sanaHili ni tangazo lililokaa kinamna flani hivi
Nimemblock ananiambia eti na vvu haka kasenge kweli mimi ni mtu mzima sina shida nimezoea vijinga kama hiviMwana filosofi kayakanyaga , atakufungulia Uzi wiki hii nzima hakubaligi kushindwa🤣
Tangazo la biashara ee kwani nani anahela humu hadi aninunue akili yako ni ya kimaskini kwanza unanuksiHili ni tangazo lililokaa kinamna flani hivi
Nawewe eti umesema nitangazo la biashara aisee vaa viat vyangu rejea post zenu wenyewe watu wanaomba misaada wananjaa na niwanaume wengine ni mashoga humu ili wapate unafuu wa maisha .Hana hela. 🤣 Nimecheka mpaka basi, mtibeli kayavagaa🤣🤣🏃
Msamehe Bure, msamehe🤣Nimemblock ananiambia eti na vvu haka kasenge kweli mimi ni mtu mzima sina shida nimezoea vijinga kama hivi
Unajua nilikua sija kupata vizuri mwanza sasa ndio nimekupata uko sawa mkuu sawa kabisa huna shida yoyote mkuu, nimekukubali mkuu salute sana💯Nawewe eti umesema nitangazo la biashara aisee vaa viat vyangu rejea post zenu wenyewe watu wanaomba misaada wananjaa na niwanaume wengine ni mashoga humu ili wapate unafuu wa maisha .
Kwanza humu wanaume wamezidi kuwa omba omba hawana hela wananjaa .....
Hadi aibu huyo naye hakuwa na hela alikuwa ananjaa tu dogo janja