Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Msigombane kaka na wifi yanazungumzika 😹😹Wanawake walio shindwa kutumia ujana wao vizuri ndo huwa wanapenda drama na ujinga... Never playing y'all games anymore. Am out
Msigombane kaka na wifi yanazungumzika 😹😹Wanawake walio shindwa kutumia ujana wao vizuri ndo huwa wanapenda drama na ujinga... Never playing y'all games anymore. Am out
Kwani ulikuwa unaongelea nn ulipo nitag? Maana siku elewa kabisaYaishe maana sikuelewi sorry
Wee si ndo umembully da Mau mbovu hapa 😹😹We Lamomy ni mjinga sana, unapenda kubuly watu, hivi kwa umri huo kweli bado unacheza michezo ya kijinga hata haya huna?
Ndo ukome, kumbe humjui vizuri Chiwawa eehh 😹😹Sasa mimi na usikaje hapa yeye kakuita chiwawa halafu nakusaidia kukuambia chiwawa ni mbwa unaongea hivi hivi shida huwa nini jamani watu wananipa maneno mazito hivi
Aliekuambua hii ni dating app ni nani😹😹Kumbe ukidate na mtu wa jf haiwi siri tena?
Basi ni kheri niache mara moja.... Maana hakuna siri humu, alaf wanawake wa jf ikifika muda mkaambiwa ni wabovu, mnaanza kulia lia, na drama kumbe ndo nyie wenyewe mnafanya, na picha mnavujisha wenyewe!
We nawe usimtishe wifi hivyo khaa..!! 😹Kwenye post yangu nimekutaja?
Acha tu nimesahau.Kwani ulikuwa unaongelea nn ulipo nitag? Maana siku elewa kabisa
Da Mau leo kazi unayo ushaanza kupagawa mapema 😹😹Dah umekuja na id mpya tena umezeeka tafuta bwana umezeeka tafuta bwana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sasa mimi na usikaje hapa yeye kakuita chiwawa halafu nakusaidia kukuambia chiwawa ni mbwa unaongea hivi hivi shida huwa nini jamani watu wananipa maneno mazito hivi
You’re an imbecile stupid man 😹You are so stupid!
Doooh Pole Sweety Candy 🥺Acha tu nimesahau.
Pole sorry
Bakiza Kiingereza cha kupandia ndege 🤣You’re an imbecile stupid man 😹
😹😹😹😹😹aiseeeeDah kubababakeeee uzi unachekesha sana 🤣
😹😹😹 Cha kuwingia ChinaBakiza Kiingereza cha kupandia ndege 🤣
Wewe ndo unajua leo?Aliekuambua hii ni dating app ni nani😹😹
😹😹😹kwanjni unaunganisha watu wapendane kwa lazimaWe nawe usimtishe wifi hivyo khaa..!! 😹
Da Mau kumbuka bana 😹Acha tu nimesahau.
Pole sorry
Sema nini kaa kimasta sana humu, watu wana cotents nzuri lakini in really life ni zero zero zero minusWewe ndo unajua leo?
Hili ni jukwaa la kila aina ya nyenzo za maisha. Kuna kila kitu humu. Kuna mishangazi, kuna walevi, yaani kama kwa mtaa tu..