Naona upo mtaa wa dating🤣🤣🤣💔tyr unasaka mkeWewe ndo unajua leo?
Hili ni jukwaa la kila aina ya nyenzo za maisha. Kuna kila kitu humu. Kuna mishangazi, kuna walevi, yaani kama kwa mtaa tu..
Najua, mkuu.Sema nini kaa kimasta sana humu, watu wana cotents nzuri lakini in really life ni zero zero zero minus
Siwezi saka mke humu, kwa mishangazi uliyo toswa. Ni kujichimbia kaburi tuNaona upo mtaa wa dating🤣🤣🤣💔tyr unasaka mke
Ipi??Bakiza Kiingereza cha kupandia ndege 🤣
Nimeona wote wako single afu wana match 😹😹😹😹😹kwanjni unaunganisha watu wapendane kwa lazima
Mtu ana id karibia jamiforums nzima walahi hii ni maajabuSema nini kaa kimasta sana humu, watu wana cotents nzuri lakini in really life ni zero zero zero minus
Humu humu kuna ubavu wako🥳🥳🥳🔥🌸🌸🌸ipo sikuSiwezi saka mke humu, kwa mishangazi uliyo toswa. Ni kujichimbia kaburi tu
Hivi nani aliye kupiga tukio mpaka ukawa mwanamke usiye na hisia wala haya katika maisha yako?You’re an imbecile stupid man 😹
Da Mau kisu iko shauri yako, unatupa dodo..!! 😹😹Siwezi saka mke humu, kwa mishangazi uliyo toswa. Ni kujichimbia kaburi tu
Inshallah, but I'll never force or chase loveHumu humu kuna ubavu wako🥳🥳🥳🔥🌸🌸🌸ipo siku
Una uhakika na maneno yako?Mtu ana id karibia jamiforums nzima walahi hii ni maajabu
We dont chase🥳🥳🔥🔥🌸here we attract ila humu ukijaribu ni kama blind dating tuInshallah, but I'll never force or chase love
Eh unamjibu mmoja hapo sijui manyanza ni yeye new id's ni yeye kila id mpya ni yeyeUna uhakika na maneno yako?
Mara ngapi sasaHivi nani aliye kupiga tukio mpaka ukawa mwanamke usiye na hisia wala haya katika maisha yako?
Maana trauma yako ni next level.. I know what I mean, you're numbing the pain by speaking shit, but utakuja kuwa mtu mzima baadae na ujutie haya unayo ya fanya.
Huu ushauri au maoni? 😹Hivi nani aliye kupiga tukio mpaka ukawa mwanamke usiye na hisia wala haya katika maisha yako?
Maana trauma yako ni next level.. I know what I mean, you're numbing the pain by speaking shit, but utakuja kuwa mtu mzima baadae na ujutie haya unayo ya fanya.
Blind dating kweli... 😂 Unaweza kuuziwa mbuzi kwa gunia humuWe dont chase🥳🥳🔥🔥🌸here we attract ila humu ukijaribu ni kama blind dating tu
🤣🤣sio uongo 🤣🤣ww jaribu utanipa mrejeshoBlind dating kweli... 😂 Unaweza kuuziwa mbuzi kwa gunia humu
Maandishi yako unayakagua kabla hauja post? Maana ni kama hayaelewekiEh unamjibu mmoja hapo sijui manyanza ni yeye new id's ni yeye kila id mpya ni yeye