Mpenzi wa zamani (My LOVE)

Yupi huyo jamaa aliyeoa na kupandishwa cheo? 😹😹😹

Da Mau Sikia mi sihongi ogopa matapeli, ukiona namuhonga mwanaume ujue kesho siamki. Wakinga tuna mizimu mikali inakunyonga chap!!

Bora umekubali wewe ni mtu mzima, ndo uache kutafutiza mifugo mipya (virusi) na dawa unywe usiwe unaacha utatoka majipu..!!

Watoto sitaki, uliowazaa wewe wakiniita mamdogo inatosha. Mamdogo naye si mama? 😹😹😹
 
Ndugu mleta mada soma comment yangu vizuri sijasema wewe ni loose Nut .

Nimesema pale nimemtag Loose nut ili aje kwa sababu ni Mzee wa mipira iliyokufa chance kama hizi huwa anazitumia vyema .
 
Mrembo usitudanganye! Unacho miss kwa sugar daddy ni pesa na kula bata TU!
 
Mwanamke na pesa ni sawa na Masai na nyama..umeoongea wee ila point alikuwa anakuhonga pesa nyingi ulienae hamfikii kisa hela ,πŸ˜­πŸ€”.

Wanawake tafteni pesa zenu muache kutusingizia
 
Utachoka bure dada, humu kuna ID ambazo hazina cha kupoteza, yaani kama ni majibizano Utachoka tu
 
Muandiko ni ule ule wa kuchanganya herufi , kutojua kuandika kiswahili vizuri . Kulalamika hovyo na muda mwingine analomenti na Kureply kama vile hajasoma au kuelewa vizuri πŸ˜‚

Unaonaje umgawe kwa Chiwawa haitakuwa Couple bomba ?😎
We jamaa huwa nakuona kama hazimo kabisa. Mara kibao umekuwa ukijifanya unaakili ila nikiangalia hata ID unazo penda kuzitag na mambo unayo pendelea hasa, naona hauko sawa kabisa. Inshort kinyongo hajifichi
 
We jamaa huwa nakuona kama hazimo kabisa. Mara kibao umekuwa ukijifanya unaakili ila nikiangalia hata ID unazo penda kuzitag na mambo unayo pendelea hasa, naona hauko sawa kabisa. Inshort kinyongo hajifichi
Mkuu , Mimi napenda sana mambo ya hovyo ningekuwa najifanya naakili au nataka kuonekana na akili usingenikuta kwenye nyuzi za hovyo na kuwatag watu wa hovyo

Nawasikitikia sana member wanaoniona nina akili , Mimi najiona bado kufika levo hiyo na bado mdogo kuwa hivyo na ndio kwanza nimemaliza shule mwaka huu.

Kuna kipindi mods walinifuata PM wakanionya watanifutia "verified badge" kisa tabia zangu za hovyo sistahili kuwa 'verified member' na nadhalilisha blue tick maana nilikuwa hadi natukanana na members matusi mazito sometimes.

Uzuri wangu Mimi najijua ni kijana wa hovyo najitahidi kubadilika ila naenda kwa steps bila kufeki , ubaya ningekuwa wa hovyo halafu sijijui na najiona Genius hiyo ndio mbaya .

Asante kwa maoni yako
 
Da Mau kumbe kabla ya kujiita Unique flower ulikua unaitwa β€œI’m new here?” 😹😹

Da Mau sasa hivi muda wa kufanya ibada umri umekutupa mkono achana na pirika za kudanga wababu..!!

Najua hapa umeshusha nyavu 😹
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ulamaya tu πŸ˜ŽπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…