was a happy family.
Ikatokea mwanamke akakutana na mnaijeria akaanza kumsomesha kuhusu biashara za mtandaoni.
Mwanamke akajaa kiburi akamwacha Mume wake tena kwa visa mbalimbali.
Mwanamke kagundua zile plans ni utapeli anajitahidi kurudi kwa jamaa yake aliyekua anampa japo kidogo nako haiwezekani.
Alidanganywa kwa kufunguliwa accounts kwenye platforms mbalimbali akaona amepata pesa tayari.
Mambo yalienda ndivo sivo kila Leo anapewa ahadi za uongo sasa anamkumbuka jamaa yake usiku na mchana.
Jamaa aliponusa usaliti huo aliamua kukaa pembeni kabisa aone mchezo, binti aliaminishwa kupata mabilioni kwa uharaka basi akaingia kingi.
Kaanza kuomba msamaha kwa jamaa na jamaa anasema kamwe hawezi kumsamehe maana anasema binti alianza dharau za wazi.
Huyu jamaa ashauriwe vipi maana kwa sasa anawaza amsamehe au apige chini moja kwa moja.
Na kwa nini wanawake hudanganyika kirahisi namna hiyo?