Mpenzi wako akianza kukuletea msharti, achana naye tafuta mpenzi mwingine; kwani kuachana shilingi ngapi?

masaa 2 unayajua mkuu
hizi stori za kitoto muwe mnaacha
Kama huamini basi mkuu. Kama ingewezekana ningekuita uje kushuhudia uwashe na stop watch kabisa,; yasipofika masaa 2 nastaafu mapenzi.
 
Hakua moenzi wako bali chombo cha starehe. Nae alikuchoka ungemuambia tu mapema kuwa anakuuzia penzi
Huyu malay..a wake anamuita mpenzi 🤣 hivi mpenzi akijua kidume chake kina kiu si kinaletaga papuchi mwenyewe na kuchakazwa🤣
 
MAPENZI ni hisia. Unapompata mtu anakupenda kwa dhati, ni vigumu sana kuyatambua mateso ya wengine wanayopitia kwenye mahusiano yao. Wapendanao wanajiona wapo kwenye dunia yao, wanapokuwa pamoja wanajihisi matajiri hata kama ni kapuku.

Unapokosea kumchagua mwenzi wa maisha mara nyingi unajikuta kwenye mateso mazito na siku zote kati ya mtihani mgumu kuufaulu katika masuala ya uhusiano wa kimapenzi ni kumpata mwenza sahihi mwenye mapenzi ya dhati.

Wengi wamejikuta wakiingia kwenye uhusiano na watu ambao hawana mapenzi ya dhati. Wanateseka, wanajaribu kuwavumilia wenzi wao ili labda pengine wanaweza kubadilika lakini wapi. Mwisho wa siku wanaishia kuachana.

Ni vizuri sana kwa wale wanaokwenda kuanzisha mahusiano mapya, wakawa makini sana katika kufanya utafiti juu ya wenza wao. Jiulize, unayempenda ana mapenzi ya dhati? Atakujali? Atakuthamini? Atakupa kipaumbele? Atakuheshimu?

Hili linawezekana endapo tu utafanya uchunguzi mapema kwa wakati ule unaonazisha uhusiano. Mwenye upendo wa dhati utamjua tu endapo utakuwa makini.

Penzi la kweli halilazimishwi, linaonekana dhahiri shahiri. Mpenzi wako unamjua kama ana mapenzi ya dhati kwako hata kwa kumuangalia tu machoni, anavyokujali, anavyokuhitaji na hata jinsi anavyokuthamini.
 
Tafadhali sana ndugu Moderator sogeza hii post kule juu ili wadau waipate smambamba na uzi huu.
 
Kweli kabisa wiki iliyopita nimetoka kuachana na demu kwa mambo hayo yaani eti nimemtongoza frexh kwenye kutoa mbunye demu ni mpaka ubembeleze afu baada ya kuvua nguo nikajua bikra kumbe dah shimo la mtu kuingia baada ya kumla nikapiga chini saiv anatuma sms tu sijibu
 
Usirudi nyuma mkuu.... USIRUDI NYUMA, USIRUDI NYUMA KAMWE
 
Safi sana mkuu; hawa viumbe huwa wanajifanya wa gharama sana kumbe used kinoumer aisee!
 
Yani hatoi mbususu mpaka mtaji, sasa si bora ukanunue tu, songa mbele mzee
 
Huwa natamani sana kuku-tana na wanawake design hiyo ila bahati huwa haipo kwangu.
 
Hapo big up, mimi nakupa kongole yaani huyo alishakuona wewe bwege mtozeni akaanza kutaka kukupelekesha..Mwanaume ni mtawala, mwanaume ni Kiongozi yeye ndo anatoa masharti siyo kupangiwa na mwanamke..Yeye ni mtawaliwa yani alipaswa akuombe kwa unyenyekevu badala yake anataka kutumia uch*I wake kama ndoani ya kutimiza matakwa yake hapo ni Big NO.
 
Ni kosa kubwa sana kumnyima mwanaume utelezi pole kwa janga la kuachwa na nyege zako.ungeenda polis kumripot dawati la jinsia
 
Sahihi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…