Mpenzi wako akianza kukuletea msharti, achana naye tafuta mpenzi mwingine; kwani kuachana shilingi ngapi?

una susa susa, in manara voice Mzee hivi viumbe usivisuse

Sent from my Pixel 3 using JamiiForums mobile app
 
You nailed it.

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Upo sahihi sana mkuu

Kuna mtu alinambia bila iPhone hatanisamehe, nikamwambia wacha nifikirie

Nikamuita anipe mzagamuo akanipa na ishu ya iPhone ikaendelea

Baada ya kutafakari mno nikamwambia siwezi kununua msamaha hata kwa chawa

Basi akajishusha na kujifanya ooh nilikuwa nakutania na nini, ila tangu hapo nikaona sina mtu kabisa

Nikamgeuza ka Malaya kangu, nafasi ambayo sitajutia mpaka nakufa maana aliistahili na kuitendea haki
 
Kweli kabisa mkuu. Hawa viumbe usipokwenda nao sambamba wanaweza kukupasua kichwa na utajikuta unashindia mihogo wakati mwenzako anajisanua na mabwana zake wengine kwa gharama zako.
 
Ni vizur ila formula ipo ivi
Kuachana na wanaume tofauti tofauti ipo DIRECTLY PROPORTIONAL na kuitwa malair[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hana chchote anacho offer zaidi ya papuchi halafu ananileltea nyodo. Hanijui vizuri huyu demu aisee!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu unatesekaaa badoo ndo maana unaanzisha mpaka uzi
 
Ikiwa baadaye atalegeza msimamo, huu ndio utakuwa utaratibu nitakaofuata mkuu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu unatesekaaa badoo ndo maana unaanzisha mpaka uzi
No. Nimekimbia mateso. Nimeanzisha uzi ili kuwaokoa wanaoteseka na kunagangania kwa wanawake wenye tabia kama hizi.
 
Mkuu hao malaya unawapata wapi ndugu yangu...hebu tuliza akili tafuta mwanamke wa kuoa ambae atakua mke haswa
 
Mkuu hao malaya unawapata wapi ndugu yangu...hebu tuliza akili tafuta mwanamke wa kuoa ambae atakua mke haswa
Asante kwa ushauri mujarabu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…