Mpenzi wako akifiwa, unatakiwa umpe sh ngapi kama rambirambi?

Mpenzi wako akifiwa, unatakiwa umpe sh ngapi kama rambirambi?

Hapo nyote m'mefiwa haina haja ya kutoa rambi rambi kwake. Ila kama ukienda msibani unaweza kushiriki kama mwanafamilia kwa kutoa chochote kitu kuchangia pale msibani.
 
sifa zinaua na hakuna bingwa wa kuhonga....wanawake hawanaga shukurani alamsiki
Mzee baba umeongea point sana

Wanawake hawana shukrani kweli kabisa

Hawa viumbe wana roho mbaya sana. Leo kuna tukio limenipata nimeumia sana, wanawake sio watu asee. Acha tu
 
Unatoa kilicho ndani ya uwezo, hata kama huna unakausha
 
Inategemea naauli Kama umempa Basi akatoe 30000 au 20000 ya kuchangia jeneza na wanafamilia wengine
 
Ikianzia laki mbili na kuendelea itapendeza zaidi[emoji1787]
 
Back
Top Bottom