kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Mpe ile pesa ambayo unataka kupewa ukifiwa weweMpenzi wangu amefiwa na mjomba
wake.
Je natakiwa kumpa sh ngapi kama rambirambi?
Hakuna sheria ni kadiri utakavyojaaliwaMpenzi wangu amefiwa na mjomba
wake.
Je natakiwa kumpa sh ngapi kama rambirambi?
Miaka 10 iliyopita ilikuwa Jamii Forum ni jukwaa la maarifa, sasahivi vimejaa vitoto vya FB imekuwa ni upuuzi mtupu yaniMpenzi wangu amefiwa na mjomba
wake.
Je natakiwa kumpa sh ngapi kama rambirambi?
Mzee baba umeongea point sanasifa zinaua na hakuna bingwa wa kuhonga....wanawake hawanaga shukurani alamsiki
BukujeroMpenzi wangu amefiwa na mjomba
wake.
Je natakiwa kumpa sh ngapi kama rambirambi?