Mpenzi wako akiwa na app hizi kwenye simu yake ujue anachepuka

Mpenzi wako akiwa na app hizi kwenye simu yake ujue anachepuka

looh!tumekuwa kama baba Jesca yan tunazidi kuwa wabunifu katika mambo yanayotuludisha nyuma badala ya kutuendeleza......
 
dah, dunia ni shetani tu! zote hizo ni mbinu za shetani kuuteka ulimwengu!
 
Kwa hiyo app ipi nzurii tupate wazungu na sie tuzae watoto wa kimataifa
 
Mmmmhh umewafundisha wahenga wenzangu kufanya madudu
 
Back
Top Bottom