Huyo mwandishi wa makala ametafuta list ya dating apps akaianika na kusahau relevance ya apps hizo hapa bongo ila kiuhalisia zote alizozitaja watumiaji ni 1/10 ya wachepukaji kwa hapa bongo ila kwa badoo acha tu hiyo habari nyingine!Badoo je?!
tunashukuru kwa kudadavua technique mpya na kali kabisa tutazifanyia kazi
watu tunapenda sana hizo kitu......mpenzi wako mchukulie ni wako pekee.....tafuta pesa uzeeke kishujaa....sio stress za kukuta red copa imetumwa kwa nani sijui....
ishi kwa amani...THEN WHAT!