Mpenzi wako alikwambia au alifanya nini ukasema kimoyomoyo huyu hawezi kuwa mke/mume wangu

Satirical Yet Awesome

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2023
Posts
629
Reaction score
1,688
Habari za weekend!

Kuna baadhi ya maneno watu wetu wa karibu wakiongea huwa yanatuumiza sana, sometimes inapelekea kupoteza interest ya kujenga maisha na huyo mtu.

Kuna mwanamke flani nilikuwa naye kwenye mahusiano takribani miaka 2, kuna siku bhana akaniuliza "hivi baby hata nikiolewa na mtu mwingine si tutakuwa tunakutana kisirisiri tunafanya mambo yetu?"

Kwa harakaharaka nikamjibu nikamjibu "ndio", ila ile kitu haikukaa vizuri kichwani mwangu, nilimwona kama mtu mwenye roho ya usaliti, kama anaweza kumfanyia mume wake hivyo si anaweza hata kunifanyia mimi.

Siku nyingine huyohuyo mwanamke akanambia maneno haya "Mimi sijali kuhusu matatizo yako, wewe ni mwanaume, wewe ndio inabidi ujali kuhusu matatizo yangu", baada ya hapo nikiwa simchukulii serious kabisa, wala sikutegemea mahusiano yetu yafike stage za kuoana.

Mwingine bhana alikuwa akiniomba hela afanye biashara, kuna siku alinieleza vizuri kabisa kuhusu hio biashara nikaipenda, nikamuahidi ntampa hela aanze, ilikuwa ni 1.5M.

Hio hela nilimpa kama baada ya wiki moja hivi, siku zilizofata nikawa nafatilia maendeleo yake na amefikia wapi, akawa tu ananiambia anasubiri vibali na issue zingine, mimi ilifika kipindi nikapotezea, kuna siku sasa mama ake akanipigia, ndio akaniambia kila kitu, ile hela bhana aliitumia kununua nguo, viatu, vipodozi, kabati la nguo na vikorokoro vingine,

Halafu ukizingatia sio mtu ambaye alikuwa hana nguo au anavaa vibaya, lahasha, hii kitu ilinifanya nipoteze interest kabisa na huyu mwanamke, nikawa namuona sio wife material kabisa, nilivoongea nae akasema sijui mambo hayakukaa sawa sijui kuna hela alizulumiwa, sababu kibao alitoa, nilimshangaa sana, hadi leo nikikumbuka nabaki nacheka tu.
 
Kuna mwanamke flani nilikuwa naye kweny mahusiano takribani miaka 2, kuna siku bhana akaniuliza "hivi baby hata nikiolewa na mtu mwingine si tutakuwa tunakutana kisirisiri tunafanya mambo yetu?"
kwa harakaharaka nikamjibu nikamjibu "ndio", ila ile kitu haikukaa vizur kichwan mwangu, nilimwona kama mtu mweny roho ya usaliti, kama anaweza kumfanyia mme wake hivo si anaweza hata kunifanyia mm.
Siku nyingine huyohuyo mwanamke akanambia maneno haya "Mimi sijali kuhusu matatizo yako, wewe ni mwanaume, wewe ndio inabidi ujali kuhusu matatizo yangu", baada ya hapo nikiwa simchukulii serious kabisa, wala sikutegemea mahusiano yetu yafike stage za kuoana.

Mwingine bhana alikuwa akiniomba hela afanye biashara, kuna siku alinieleza vizur kabisa kuhusu hio biashara nikaipenda, nikamuahidi ntampa hela aanze, ilikuwa ni 1.5M.
Hio hela nilimpa kama baada ya wiki moja hivi, siku zilizofata nikawa nafatilia maendeleo yake na amefikia wapi, akawa tu ananiambia anasubiri vibali na issue zingine, mm ilifika kipindi nikapotezea, kuna siku sasa mama ake akanipigia, ndio akaniambia kila kitu, ile hela bhana aliitumia kununua nguo, viatu, vipodozi, kabati la nguo na vikorokoro vingine, alaf ukizingatia sio mtu ambaye alikuwa hana nguo au anavaa vibaya, lahasha, hii kitu ilinifanya nipoteze interest kabisa na huyu mwanamke, nikawa namuona sio wife material kabisa, nilivoongea nae akasema sijui mambo hayakukaa sawa sijui kuna hela alizulumiwa, sababu kibao alitoa, nilimshangaa sana, hadi leo nikikumbuka nabaki nacheka tu.
Wote tu wapungufu
 
Habari za weekend!

Kuna baadhi ya maneno watu wetu wa karibu wakiongea huwa yanatuumiza sana, sometimes inapelekea kupoteza interest ya kujenga maisha na huyo mtu.

Kuna mwanamke flani nilikuwa naye kwenye mahusiano takribani miaka 2, kuna siku bhana akaniuliza "hivi baby hata nikiolewa na mtu mwingine si tutakuwa tunakutana kisirisiri tunafanya mambo yetu?"

Kwa harakaharaka nikamjibu nikamjibu "ndio", ila ile kitu haikukaa vizuri kichwani mwangu, nilimwona kama mtu mwenye roho ya usaliti, kama anaweza kumfanyia mume wake hivyo si anaweza hata kunifanyia mimi.

Siku nyingine huyohuyo mwanamke akanambia maneno haya "Mimi sijali kuhusu matatizo yako, wewe ni mwanaume, wewe ndio inabidi ujali kuhusu matatizo yangu", baada ya hapo nikiwa simchukulii serious kabisa, wala sikutegemea mahusiano yetu yafike stage za kuoana.

Mwingine bhana alikuwa akiniomba hela afanye biashara, kuna siku alinieleza vizuri kabisa kuhusu hio biashara nikaipenda, nikamuahidi ntampa hela aanze, ilikuwa ni 1.5M.

Hio hela nilimpa kama baada ya wiki moja hivi, siku zilizofata nikawa nafatilia maendeleo yake na amefikia wapi, akawa tu ananiambia anasubiri vibali na issue zingine, mimi ilifika kipindi nikapotezea, kuna siku sasa mama ake akanipigia, ndio akaniambia kila kitu, ile hela bhana aliitumia kununua nguo, viatu, vipodozi, kabati la nguo na vikorokoro vingine,

Halafu ukizingatia sio mtu ambaye alikuwa hana nguo au anavaa vibaya, lahasha, hii kitu ilinifanya nipoteze interest kabisa na huyu mwanamke, nikawa namuona sio wife material kabisa, nilivoongea nae akasema sijui mambo hayakukaa sawa sijui kuna hela alizulumiwa, sababu kibao alitoa, nilimshangaa sana, hadi leo nikikumbuka nabaki nacheka tu.
Mtu sio mke wako unampaje mtaji wa 1.5m? Umetuhaibisha baharia
 
Back
Top Bottom