Mpenzi wako alikwambia au alifanya nini ukasema kimoyomoyo huyu hawezi kuwa mke/mume wangu

Mpenzi wako alikwambia au alifanya nini ukasema kimoyomoyo huyu hawezi kuwa mke/mume wangu

Mimi mwanamke yeyote akisha niambia "mwanaume ndio unapaswa kuhudumia" Tuna achana on the spot.

Hiyo ni Red flag ya kwamba huyo ni parasite.

Akahudumiwe na babake.
"Mwanaume unapaswa kuhudumia" hebu ngoja kwanza "kuhudumia" kwa ajili ya lile tundu na titi zake au kuna kingine.... Aaa we hapo ngoja dereva anishushe... Sivumilii kauli au mtazamo wa aina hii
 
Tupo kwenywe uchumba zaidi ya mwaka mmoja na kila siku tunapanga mipango.. Kuna siku aliniuliza hivi baby una mpango gani namimi!?
Nikamuuliza kwamba wewe ndio special sana au kwanini uskilize una mpango gani na mahusiano yetu..akanuna ni nikamblock nikatafute bebe mwingine mtaani yeye amebaki kuomba msamaha kila siku
 
Back
Top Bottom