Mpenzi wako alikwambia au alifanya nini ukasema kimoyomoyo huyu hawezi kuwa mke/mume wangu

In short huyu jamaa inatakiwa awe kataa ndoa (amuache mkewe kwa muda kidogo) ajitafakari maisha yake yalivyo na yatakavyokuwa hapo siku za mbele ndo aamue arudi au abaki hivyo hivyo wabaki kulea watoto tu.

Atapasuka kichwa huyu
Kuiongea ni rahis mkuu, kuifanya yahitaji sana moyo maana unaweza ukachanganyikiwa. Unawaza effect itakavyokua kwa watoto
Mungu ampe tu nguvu maana sio rahisi.
 
Kwambaa?? πŸ˜…πŸ˜… sijasikia swali
Aliuliza kuwa kumbe wanaume kwenye kuoa huwa wanaangalia kwenye list ya madem zake mwenye anafaa. Hajui kama wanakuwag kama set au playlist
 
Aliniambia "nataka nihakikishie, utanioa au nitafute mtu mwingine wa kunioa halafu sisi tuendelee tu kama washkaji"?
Nikajua lazima alikuwa amepata mtu mwingine ambaye ambaye ni anamuona bora kuliko mimi. Nikamwambia tafuta.... nilivyomsindikiza kutoka getho siku hiyo ndo ikawa mwisho wa kuonana mimi na yeye. Sijui yuko wapi siku hizi.
 
A
Achana Nae πŸ˜‚anateseka na Mapenzi kulee Ulimwengu Wa Roho..

Harmonize. Utanikumbuka

I Guess WhatπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndo tumekutana mara ya kwanza naenda likizo nyumbani, after three days ya kumspoil na bata na vizawadi vya hapa na pale..nikaenda Fanya shopping for my parents..cha ajabu kachukua package ya mama mkwe wake...kachambua alivyoona vinamfaa akaweka pembeni..aisee cjawahi chukia kama siku ile...cjawahi dharau mwanamke kama yule dada...
That was the last time niliiona sura yake
 
Simp ⌚⌚🀣
 
Na alikua anajua kua hiyo ni package ya mama?
 

We mjinga
 
Ata kumi mnafika ili kuwachuja kupata mke wa ukweli na uhakika, ndani ya kumi kuna Single mother hao ni wa kufanyia mazoezi na kuna binti mpole msikivu na muoga na mwenye hofu ya Mungu
Looh πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyu mdada yeye bana mimi najua ni mpenzi wangu.

Tunakaa sehemu anachezea simu kama kawaida wadada anapita huku na huko akiona MEME ananionyesha nacheka natia neno inapita.

Siku 1 akanionyesha MEME inasema..

"Kuna Yule X wako kila Mkiachana,Mkija kukutana Mna renew PENZI kama vile mmekutana jana hamjawahi achana"

Akimaanisha mimi ndio huyo X wake, sasa kimoyo moyo nkawa nawaza kwani Mimi huyu mtoto tumeachana Lini?

Maana kwenye mapenzi ugomvi wa hapa na pale haukosi ila sasa kwani sisi kugombana tushaachanaga kumbe? Aseee nikakausha ila kengele ya ALARM ikalia.

Sijamuacha BADO nasonga nae kama injili ila ndo kwangu saivi nmempa cheo cha Kipoozeo kama yeye anavyoniona mimi ni X wake.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umesema 1.5M ukampa mwanamke. Naomba Askari chukua huyu weka ndani, ataenda kujibu
Mtu sio mke wako unampaje mtaji wa 1.5m? Umetuhaibisha baharia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…