Mpenzi wako alikwambia au alifanya nini ukasema kimoyomoyo huyu hawezi kuwa mke/mume wangu

Yeye ndio anatakiwa akucheke at ulimpa demu 1.5 huku bibi ako Hana choo Cha kizuri wala tu mbuzi vya kuzugia kijijini
 
Umbali mawasiliano yaka pungua siku nauliza nini shida?? Kaanza maelezo meeengi niliuza mechi huyo bibie kaja ana sema ana mimba! Nikaona hapa nipite hivi japo hunitafuta kwa salam wanaume ni kiboko aisee
 
Kwa hiyo ukamfukua mtaro ndio ukamuacha.🀣🀣🀣🀣 Hatari nyie vijana
 
1. Nilimkuta na kadi ya chama cha mapinduzi, nikaona hili jizi halinifai

2. Marafiki zake ni wale wenye sifa za kutembea na waume za watu na ni watoa mimba mashuhuri.
 
Sasa sii ungekubali kushare ungemla mara tatu alafu ule nduki
 
Kweli kabisa mkuu wanawake wengine wana nywele za makwapani zilizochomaka kama mkia wa farasi halafu ni nyekundu kama waya wa kopa yaani nywele zina magamba kama zile nyaya za shaba.
 
1. Nilimkuta na kadi ya chama cha mapinduzi, nikaona hili jizi halinifai

2. Marafiki zake ni wale wenye sifa za kutembea na waume za watu na ni watoa mimba mashuhuri.
Ungemfuatilia ungekuta alishawahi kutembea na bwana Lukasi mwashambw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…