Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye ndio anatakiwa akucheke at ulimpa demu 1.5 huku bibi ako Hana choo Cha kizuri wala tu mbuzi vya kuzugia kijijiniHabari za weekend!
Kuna baadhi ya maneno watu wetu wa karibu wakiongea huwa yanatuumiza sana, sometimes inapelekea kupoteza interest ya kujenga maisha na huyo mtu.
Kuna mwanamke flani nilikuwa naye kwenye mahusiano takribani miaka 2, kuna siku bhana akaniuliza "hivi baby hata nikiolewa na mtu mwingine si tutakuwa tunakutana kisirisiri tunafanya mambo yetu?"
Kwa harakaharaka nikamjibu nikamjibu "ndio", ila ile kitu haikukaa vizuri kichwani mwangu, nilimwona kama mtu mwenye roho ya usaliti, kama anaweza kumfanyia mume wake hivyo si anaweza hata kunifanyia mimi.
Siku nyingine huyohuyo mwanamke akanambia maneno haya "Mimi sijali kuhusu matatizo yako, wewe ni mwanaume, wewe ndio inabidi ujali kuhusu matatizo yangu", baada ya hapo nikiwa simchukulii serious kabisa, wala sikutegemea mahusiano yetu yafike stage za kuoana.
Mwingine bhana alikuwa akiniomba hela afanye biashara, kuna siku alinieleza vizuri kabisa kuhusu hio biashara nikaipenda, nikamuahidi ntampa hela aanze, ilikuwa ni 1.5M.
Hio hela nilimpa kama baada ya wiki moja hivi, siku zilizofata nikawa nafatilia maendeleo yake na amefikia wapi, akawa tu ananiambia anasubiri vibali na issue zingine, mimi ilifika kipindi nikapotezea, kuna siku sasa mama ake akanipigia, ndio akaniambia kila kitu, ile hela bhana aliitumia kununua nguo, viatu, vipodozi, kabati la nguo na vikorokoro vingine,
Halafu ukizingatia sio mtu ambaye alikuwa hana nguo au anavaa vibaya, lahasha, hii kitu ilinifanya nipoteze interest kabisa na huyu mwanamke, nikawa namuona sio wife material kabisa, nilivoongea nae akasema sijui mambo hayakukaa sawa sijui kuna hela alizulumiwa, sababu kibao alitoa, nilimshangaa sana, hadi leo nikikumbuka nabaki nacheka tu.
Aisee sio wewe tuu ata mie niliingia kwenye huu mtego...alooh! Sikuona ata senti moja nikaishia kula mbususu tuuMpango ulikuwa ni kwamba, faida tunagawana kwa percentage tulizokubaliana, so it was convincing.
Wameumbwa kishetani shetaniWanawake wana tabu sana, sijui wameumbwaje.
Sasa kitu sealed alafu mada za bikra huji kutupa nguvu kwa nini?Kitu silidiiiii
Kwa hiyo ukamfukua mtaro ndio ukamuacha.🤣🤣🤣🤣 Hatari nyie vijana1st, alikuwa anapenda sana starehe na tulikutana club nikataka mbadilisha nikashindwa siku nampiga chini (bila yeye kufahamu) aliniomba twende viwanja usiku nikamwambia sijiskii kutoka akasema basi nimruhusu aende na marafiki zake alafu atarudi na kweli nikamruhusu akaenda akarudi saa 10 alfajiri. Nikasema huyu nitakuwa napiga mpaka nikimchoka nampiga chini uzuri wake ni janga.
2nd, nilimpenda mno ila tatizo uchafu yani hakuna kitu nachukia kwa mtu kama uchafu. Huyu demu ni amesimama hatari alafu wa kishua mno ila ananuka kwapa na hataki mambo ya deodorant wala perfume. Nilimnunulia perfume ya laki 3 akaenda kugawa anasema hapendi perfume na ata akioga bado ananuka jasho kali yani kuna muda anakuwa na nywele za kwapa zimechachamaa ni nyekundu alafu hajali wala nini so nikampiga chini ila mpaka leo hajui shida nini mimi nilimpa sababu za uongo na kweli.
3rd, umalaya nilikuja kumjua baadae sana kuwa ni malaya wa level kubwa baada ya kunipa nyuma na nikambana alianzaje akanipa full mkanda yani ni mzoefu kumbe siku zote namgusagusa tu mpaka agongwe nyuma ndio anarizika. Baada ya hapo nikawa namdanganya nimesafiri nimepata msiba mpaka leo akajiongeza tu nimeachwa.
4th, huyu alikuwa single maza nilitaka kujilipua ila vitu viwili vilinikatisha tamaa moja tukigombana anampost status mtoto wake ananipiga vijembe kupitia mtoto wake nikaona in the future huyu mtoto atakuwa ndio silaha ya kunimaliza pili ni kama nilizinduka usingizi why naoa mtu mwenye mtoto kwa nn nisianze afresh yan nakosa nn mpaka nikabebe mizigo ya watu
Kwa sababu wameshaumbwa yatubidi tuishi nao hivi hivi.Wameumbwa kishetani shetani
1. Nilimkuta na kadi ya chama cha mapinduzi, nikaona hili jizi halinifaiHabari za weekend!
Kuna baadhi ya maneno watu wetu wa karibu wakiongea huwa yanatuumiza sana, sometimes inapelekea kupoteza interest ya kujenga maisha na huyo mtu.
Kuna mwanamke flani nilikuwa naye kwenye mahusiano takribani miaka 2, kuna siku bhana akaniuliza "hivi baby hata nikiolewa na mtu mwingine si tutakuwa tunakutana kisirisiri tunafanya mambo yetu?"
Kwa harakaharaka nikamjibu nikamjibu "ndio", ila ile kitu haikukaa vizuri kichwani mwangu, nilimwona kama mtu mwenye roho ya usaliti, kama anaweza kumfanyia mume wake hivyo si anaweza hata kunifanyia mimi.
Siku nyingine huyohuyo mwanamke akanambia maneno haya "Mimi sijali kuhusu matatizo yako, wewe ni mwanaume, wewe ndio inabidi ujali kuhusu matatizo yangu", baada ya hapo nikiwa simchukulii serious kabisa, wala sikutegemea mahusiano yetu yafike stage za kuoana.
Mwingine bhana alikuwa akiniomba hela afanye biashara, kuna siku alinieleza vizuri kabisa kuhusu hio biashara nikaipenda, nikamuahidi ntampa hela aanze, ilikuwa ni 1.5M.
Hio hela nilimpa kama baada ya wiki moja hivi, siku zilizofata nikawa nafatilia maendeleo yake na amefikia wapi, akawa tu ananiambia anasubiri vibali na issue zingine, mimi ilifika kipindi nikapotezea, kuna siku sasa mama ake akanipigia, ndio akaniambia kila kitu, ile hela bhana aliitumia kununua nguo, viatu, vipodozi, kabati la nguo na vikorokoro vingine,
Halafu ukizingatia sio mtu ambaye alikuwa hana nguo au anavaa vibaya, lahasha, hii kitu ilinifanya nipoteze interest kabisa na huyu mwanamke, nikawa namuona sio wife material kabisa, nilivoongea nae akasema sijui mambo hayakukaa sawa sijui kuna hela alizulumiwa, sababu kibao alitoa, nilimshangaa sana, hadi leo nikikumbuka nabaki nacheka tu.
Sasa sii ungekubali kushare ungemla mara tatu alafu ule ndukiKuna mwanamke bhana ni mke wa mtu ila waliachana so akawa single maza. Nikaja kutana nae tukaanzq mahusiano nikawa nampa hela ndogo ndogo ef 30,50 zangu kazila nyingi tu. Kuna kipindi hadi nikampa 100k alipo nililia kuhusu shida yake flani. Ajabu ni kwamba nilipo Sogea karibu naye ambapo ndio ilikuwa mda mzuri ata wa kusuuza rungu kwa mara ya kwanza (wkt tunakutana nilikuwa mkoani) matukio yakaanza sasa.
Tukio la kwanza akaniambia J naomba tuachane naona siko sawa kuna mambo yananichanganya. Nikamuuliza mambo gani hayo na mbona gafla hivo majibu yakawa hayaeleweki ila akasimamia msimamo wake tu kuwa nimuache hayuko sawa kwa sasa na kwamba pindi akiwa sawa atanitafuta yeye mwenyewe 😂😂
Baada ya kuchunguza nikagundua kumbe amerudiana na mtu wake bhana dah niliumia sanaa... Sasa ikabidi nimchane ukweli kwa kumwandikia msg maana cm zangu alikuwa hapokei tena. Sasa baada ya kuisoma ile msg ndio akaanza kupokea cm zangu tena na hapo sasa ikabidi anichane live bila chenga kwamba kama niko tayari kushea na mtu wake basi fine ila kama sipo tayari nipite kushoto 😂😂 NB:- kumbuka hapo hata mzigo sijaonja ndugu msomaji na plan ilikuwa kumuweka ndani kabisa la haulaaa....
Itaendelea...
Kweli kabisa mkuu wanawake wengine wana nywele za makwapani zilizochomaka kama mkia wa farasi halafu ni nyekundu kama waya wa kopa yaani nywele zina magamba kama zile nyaya za shaba.1st, alikuwa anapenda sana starehe na tulikutana club nikataka mbadilisha nikashindwa siku nampiga chini (bila yeye kufahamu) aliniomba twende viwanja usiku nikamwambia sijiskii kutoka akasema basi nimruhusu aende na marafiki zake alafu atarudi na kweli nikamruhusu akaenda akarudi saa 10 alfajiri. Nikasema huyu nitakuwa napiga mpaka nikimchoka nampiga chini uzuri wake ni janga.
2nd, nilimpenda mno ila tatizo uchafu yani hakuna kitu nachukia kwa mtu kama uchafu. Huyu demu ni amesimama hatari alafu wa kishua mno ila ananuka kwapa na hataki mambo ya deodorant wala perfume. Nilimnunulia perfume ya laki 3 akaenda kugawa anasema hapendi perfume na ata akioga bado ananuka jasho kali yani kuna muda anakuwa na nywele za kwapa zimechachamaa ni nyekundu alafu hajali wala nini so nikampiga chini ila mpaka leo hajui shida nini mimi nilimpa sababu za uongo na kweli.
3rd, umalaya nilikuja kumjua baadae sana kuwa ni malaya wa level kubwa baada ya kunipa nyuma na nikambana alianzaje akanipa full mkanda yani ni mzoefu kumbe siku zote namgusagusa tu mpaka agongwe nyuma ndio anarizika. Baada ya hapo nikawa namdanganya nimesafiri nimepata msiba mpaka leo akajiongeza tu nimeachwa.
4th, huyu alikuwa single maza nilitaka kujilipua ila vitu viwili vilinikatisha tamaa moja tukigombana anampost status mtoto wake ananipiga vijembe kupitia mtoto wake nikaona in the future huyu mtoto atakuwa ndio silaha ya kunimaliza pili ni kama nilizinduka usingizi why naoa mtu mwenye mtoto kwa nn nisianze afresh yan nakosa nn mpaka nikabebe mizigo ya watu
Una ndoa ngapi hadi sasa?Ukiniomba sex kabla ndoa 😉
Ungemfuatilia ungekuta alishawahi kutembea na bwana Lukasi mwashambw1. Nilimkuta na kadi ya chama cha mapinduzi, nikaona hili jizi halinifai
2. Marafiki zake ni wale wenye sifa za kutembea na waume za watu na ni watoa mimba mashuhuri.
😄😄😄😄😄😊Kweli kabisa mkuu wanawake wengine wana nywele za makwapani zilizochomaka kama mkia wa farasi halafu ni nyekundu kama waya wa kopa yaani nywele zina magamba kama zile nyaya za shaba.
Inakufanya uwaze na kuwazua in deep bila ya majibu yaliyo sahihi.😄😄😄😄😄😊
Alikuwa analiwa na MAJamaa wa TANESCO, COSTEC,TANAPA,TRC, CWT yaani ni mama huruma wa mashirika ya ummaUngemfuatilia ungekuta alishawahi kutembea na bwana Lukasi mwashambw
SanaInakufanya uwaze na kuwazua in deep bila ya majibu yaliyo sahihi.
🤣🤣🤣Wameumbwa kishetani shetani
Hahahaha, duh huyo mama mbona anagawa uchi kama njugu.Alikuwa analiwa na MAJamaa wa TANESCO, COSTEC,TANAPA,TRC, CWT yaani ni mama huruma wa mashirika ya umma