Mpenzi wako alikwambia au alifanya nini ukasema kimoyomoyo huyu hawezi kuwa mke/mume wangu

Hakuwa mpenzi wangu ila alikuwa mshikaji tuu, Siku hiyo tunapiga stori akasema " mimi napenda mwanamke nimbinue mpaka nione shimo la uzazi" Yaani pale pale ilikuwa total turn off nikamblock kabisa na ushikaji ukafa maana kiukweli nilimdharau sana na nikawaonea huruma mademu zake.

Maana mwanaume anayejiheshimu na kujielewa hawezi kuongea kauli za kiwaki kama hizo.Nilijisemea hamna kitu hapo.
 
Nimesoma na nitaendelea kusoma michango ya wadogo zangu humu
 
Ebu besty nae share mkasa wako, tdh alisema nini au kufanya nini ukaona hapa kuolewa ni ndoto 😜
Mwingine nilimtambulisha kwa ndugu yangu wa kike kumbe huku nyuma akaanza kufanya mipango ya kulala nae, nilipogundua nikaona hamna kitu hapa. Mwanaume anataka kulala na kila mwanamke anaemuona. Nikajiondokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…