Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu besty nae share mkasa wako, tdh alisema nini au kufanya nini ukaona hapa kuolewa ni ndoto 😜
Aloooh! So alitaka kumwagia nda i kabisaaaaAlinikazania nibebe mimba wakati kuja kwetu hataki.
Njoo basi kwangu mie nakuja kwenu alafu ndio unabeba mimbaAlinikazania nibebe mimba wakati kuja kwetu hataki.
Shukuru hutumii,....wamesitisha eti 🤭Njoo basi kwangu mie nakuja kwenu alafu ndio unabeba mimba
Niliona mbali mwenzio. Nasemaga kabisa katika maamuzi ya busara niliwahi kufa ya maishani mwangu ni kutokuanza kutumia arv....19 years and counting nadunda tuuShukuru hutumia,....wamesitisha eti 🤭
Bora nibaki singo wewe huwezi kuwa mume wangu, nina uhakika sitamaliza mwaka nitakufa kwa stress 😂Njoo basi kwangu mie nakuja kwenu alafu ndio unabeba mimba
🤔🤔 Miaka 19 bila dawa? We kaongo tuondolee chai zako.Niliona mbali mwenzio. Nasemaga kabisa katika maamuzi ya busara niliwahi kufa ya maishani mwangu ni kutokuanza kutumia arv....19 years and counting nadunda tuu
Kweli tena miaka 19 bila dawa ziri mazoezi, kutokuwa na stress, kula vizuri na kugegeda🤔🤔 Miaka 19 bila dawa? We kaongo tuondolee chai zako.
Mmh! Haya bwanaKweli tena miaka 19 bila dawa ziri mazoezi, kutokuwa na stress, kula vizuri na kugegeda
Mwingine nilimtambulisha kwa ndugu yangu wa kike kumbe huku nyuma akaanza kufanya mipango ya kulala nae, nilipogundua nikaona hamna kitu hapa. Mwanaume anataka kulala na kila mwanamke anaemuona. Nikajiondokea.Ebu besty nae share mkasa wako, tdh alisema nini au kufanya nini ukaona hapa kuolewa ni ndoto 😜
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe unapenda sana kulalamika kuhusu wanawake zako
Hizi bahati mbona sisi wengine hatuzipatiGame ya kwanza, nimekaza kiuno wee na mbele, kesho yake ananiuliza kwa meseji, hutumii Tigo?
Nikasema huyu sipigi tena hakiya mama.
ChaiKitu Brand new 👌
Keep it up aisee👊Niliona mbali mwenzio. Nasemaga kabisa katika maamuzi ya busara niliwahi kufa ya maishani mwangu ni kutokuanza kutumia arv....19 years and counting nadunda tuu