Mpenzi wako alikwambia au alifanya nini ukasema kimoyomoyo huyu hawezi kuwa mke/mume wangu

Mpenzi wako alikwambia au alifanya nini ukasema kimoyomoyo huyu hawezi kuwa mke/mume wangu

Hakuna mtu atakubali kukuoa bila kumtomba. Wake up its 2024.
Usimkatishe tamaa mwanamke aliyejitunza bwana. Atapata tuu wakumuoa sio wote duniani ni tomber tomber kama mzabzab.

Wacheni dada wa watu akaze hapo hapo ata kama akifa na utamu wake wacha afe nao 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sijamkatisha tamaa, nimemweleza kweli. Akikaa hivyo hivyo akaolewa na jamaa ndani akakuta jamaa mashine haisimami ? Si atatoambwa nje? Maana nlivyosema hivyo sio upande mmoja ni pande zote...
 
Kuna ile mwanamke anakuja kwenye maisha yako kwa kufosi mwsho wa siku unaamua kukaa nae gheto anakuwa mke,unashangaa siku umepinda labda unajisemesha kwake unamwambia nina magumu hata sjui nitafanyaje lakin ajabu anakujibu kuwa " kwani ulilazimishwa kuoa,mwanaume pambana" sasa unawaza kuwa keshasahau kuwa alikuja kwenye maisha yako kwa kung'ang'ania
Hii kiboko🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hakuwa mpenzi wangu ila alikuwa mshikaji tuu, Siku hiyo tunapiga stori akasema " mimi napenda mwanamke nimbinue mpaka nione shimo la uzazi" Yaani pale pale ilikuwa total turn off nikamblock kabisa na ushikaji ukafa maana kiukweli nilimdharau sana na nikawaonea huruma mademu zake.

Maana mwanaume anayejiheshimu na kujielewa hawezi kuongea kauli za kiwaki kama hizo.Nilijisemea hamna kitu hapo.
Mweee wee nae utoto wakusumbua sasa kumbinua aone shimo la uzazi sii kuona maku sii ndio shimo la uzazi au kuna lingine ambalo hatulijui utueleze
 
🤣🤣🤣🤣 hata sijui kwanini kaka ila niliona kama ametuaibisha sisterhood nzima nilinuna mno na ushkaji ukafa kabisa. Ni kauli ya kuidhalilishaji kabisa
ali kuona mshikaji, so aka funguka kishkaji. Nothing huge.

halafu mbona mi Nina washkaji wa kike, na Wana ropokaga Ile mbaya.
Ila nawa elewa, coz sisi ni washkaji
 
Mweee wee nae utoto wakusumbua sasa kumbinua aone shimo la uzazi sii kuona maku sii ndio shimo la uzazi au kuna lingine ambalo hatulijui utueleze
SIo utoto bwana according to story alimaanisha anataka amkunje demu wake mpaka aone ndani ya maku sasa si ujinga huo.....sio kitu cha kuongea hadharani tena kwa ke bora hata angekuwa anasimulia Me mwenzie.....kwangu ilikuwa kind of awkward and embarrasing
 
SIo utoto bwana according to story alimaanisha anataka amkunje demu wake mpaka aone ndani ya maku sasa si ujinga huo.....sio kitu cha kuongea hadharani tena kwa ke bora hata angekuwa anasimulia Me mwenzie.....kwangu ilikuwa kind of awakward and embarrasing
Ila na wewe inao ekana ulikuwa umezoeana nae vibaya mpaka anatamka hayo maneno in ur face.
Mara nyingi hayo tunakuwa tunachat bwana.
Ebu na wewe jitathmini
 
Mimi sio Mpenzi wa mpira wa miguu,huyu mtu wangu anaweza akaacha Kila kitu kwa ajili ya Yanga!
Anakwambia mpira kwake ni starehe kubwa!
Niko nae mwaka wa Tano huu lakini hili jambo linaninyima Amani,unaweza ukawa unataka kupiga show anakwambia ngoja nikaangalie mpira wa Yanga kwanza!
Binafsi naona ni kama ukichaa,sitaki Maisha ya aina hii.
 
Ila na wewe inao ekana ulikuwa umezoeana nae vibaya mpaka anatamka hayo maneno in ur face.
Mara nyingi hayo tunakuwa tunachat bwana.
Ebu na wewe jitathmini
Na sababu kubwa iliyofanya nione ni awkward ni kwamba hatukuwa na mazoea kupitiliza ya kuongea hivyo na tulikuwa tunachat kweli ndio maana nikamblock kabisa.
You cant believe tulikuwa tunachat sababu iliyofanya atengane na babymama wake akatoa kibao na hiyo moja wapo imagine jamani
 
Just joking bro, beside nakutana na wanawake wengi maybe 40 pisikali hii top.

Shida mambo ni mengi, hata kutongoza Nisha sahau🤣😂
Haaahaa, miaka mingi imepita ilikua saa 12 jion nilijilipua nikamfuata dada mmoja ilikua maeneo ya mbagala rangi 3 nilikua stranger kwake akaniogopa..sijajua kwanini aliogopa hakusimama nikamfuata akaongeza speed 🏃🏃🏃🏃

Mara moja moja unatakiwa ujipime uone Kama una MBINU za kumfanyia lobbying mtu ☺️😊
 
Lobbying, hahaha, bro Nisha pewa namba Nika ishia uko powa??.
Baada ya hapo, naona ka ni boring 🤣
 
Back
Top Bottom