Mpenzi wako alikwambia au alifanya nini ukasema kimoyomoyo huyu hawezi kuwa mke/mume wangu

Mpenzi wako alikwambia au alifanya nini ukasema kimoyomoyo huyu hawezi kuwa mke/mume wangu

Lobbying, hahaha, bro Nisha pewa namba Nika ishia uko powa??.
Baada ya hapo, naona ka ni boring 🤣
Yes, msipo kua na common interests huwezi chati Sana.
Mimi na wife tulipo kua wachumba tulikua tunachat usiku mzima sms nyingi nyingi Ila kwa Sasa toka asubuh mpaka now hatuja chati chochote.
Jizoeshe mdogo mdogo..Ila Mimi na allergies na wanawake wenye tamaa na omba omba yaan nawaonaga ma vampire
 
Na sababu kubwa iliyofanya nione ni awkward ni kwamba hatukuwa na mazoea kupitiliza ya kuongea hivyo na tulikuwa tunachat kweli ndio maana nikamblock kabisa.
You cant believe tulikuwa tunachat sababu iliyofanya atengane na babymama wake akatoa kibao na hiyo moja wapo imagine jamani
Mshikaji mnachat mapenzi aiseee hatari nyie.
 
Yes, msipo kua na common interests huwezi chati Sana.
Mimi na wife tulipo kua wachumba tulikua tunachat usiku mzima sms nyingi nyingi Ila kwa Sasa toka asubuh mpaka now hatuja chati chochote.
Jizoeshe mdogo mdogo..Ila Mimi na allergies na wanawake wenye tamaa na omba omba yaan nawaonaga ma vampire
I lost someone like that, but it's nature.
 
Habari za weekend!

Kuna baadhi ya maneno watu wetu wa karibu wakiongea huwa yanatuumiza sana, sometimes inapelekea kupoteza interest ya kujenga maisha na huyo mtu.

Kuna mwanamke flani nilikuwa naye kwenye mahusiano takribani miaka 2, kuna siku bhana akaniuliza "hivi baby hata nikiolewa na mtu mwingine si tutakuwa tunakutana kisirisiri tunafanya mambo yetu?"

Kwa harakaharaka nikamjibu nikamjibu "ndio", ila ile kitu haikukaa vizuri kichwani mwangu, nilimwona kama mtu mwenye roho ya usaliti, kama anaweza kumfanyia mume wake hivyo si anaweza hata kunifanyia mimi.

Siku nyingine huyohuyo mwanamke akanambia maneno haya "Mimi sijali kuhusu matatizo yako, wewe ni mwanaume, wewe ndio inabidi ujali kuhusu matatizo yangu", baada ya hapo nikiwa simchukulii serious kabisa, wala sikutegemea mahusiano yetu yafike stage za kuoana.

Mwingine bhana alikuwa akiniomba hela afanye biashara, kuna siku alinieleza vizuri kabisa kuhusu hio biashara nikaipenda, nikamuahidi ntampa hela aanze, ilikuwa ni 1.5M.

Hio hela nilimpa kama baada ya wiki moja hivi, siku zilizofata nikawa nafatilia maendeleo yake na amefikia wapi, akawa tu ananiambia anasubiri vibali na issue zingine, mimi ilifika kipindi nikapotezea, kuna siku sasa mama ake akanipigia, ndio akaniambia kila kitu, ile hela bhana aliitumia kununua nguo, viatu, vipodozi, kabati la nguo na vikorokoro vingine,

Halafu ukizingatia sio mtu ambaye alikuwa hana nguo au anavaa vibaya, lahasha, hii kitu ilinifanya nipoteze interest kabisa na huyu mwanamke, nikawa namuona sio wife material kabisa, nilivoongea nae akasema sijui mambo hayakukaa sawa sijui kuna hela alizulumiwa, sababu kibao alitoa, nilimshangaa sana, hadi leo nikikumbuka nabaki nacheka tu.
Sasa kwann mama alimchomesha Binti yake
 
😊😊☺️☺️
FB_IMG_17288504195862550.jpg
 
Mshikaji mnachat mapenzi aiseee hatari nyie.
Nadhani pia utakuwa hujaelewa koz nmeeleza fresh tulikuwa tunachat kuhusu yeye na babymama wake why wametengana akatoa sababu kibao pia akaongelea na hiyo tena ghafla ndio maana i felt offended nikamblock.....sidhani kama ni mapenzi tuliyokuwa tunachat.
 
Back
Top Bottom