Mpenzi wako alikwambia au alifanya nini ukasema kimoyomoyo huyu hawezi kuwa mke/mume wangu

Mpenzi wako alikwambia au alifanya nini ukasema kimoyomoyo huyu hawezi kuwa mke/mume wangu

Nadhani pia utakuwa hujaelewa koz nmeeleza fresh tulikuwa tunachat kuhusu yeye na babymama wake why wametengana akatoa sababu kibao pia akaongelea na hiyo tena ghafla ndio maana i felt offended nikamblock.....sidhani kama ni mapenzi tuliyokuwa tunachat.
Bby mama alikuwa anamnyimba mbususu 🤣🤣🤣🤣
 
Ukiniomba sex kabla ndoa 😉
Ukininyima hakikisha wewe ni bikra.

Maana nikikukuta huna bikra nawaita wazazi wako waje wakuchukue na sijali kuhusu gharama za harusi wala mahari niliyolipa.

Maana sisi wanaume kuambiwa "sikupi kitumbua hadi unioe" siyo kauli mbaya na tunai pendaga sana tukiamini huyu mwanamke anajitunza atakuwa sild bado.

Lakini mimi nivumilie alafu nikukute siyo bikra, my sister utafungasha virago na utaondoka.

Haiwezekani aliyekutoa bikra ulimpa bila masharti alafu mimi mwoaji unanipa masharti eti hadi nikuoe ndiyo unipe 😅😅😅
 
Bby mama alikuwa anamnyimba mbususu 🤣🤣🤣🤣
Alikuwa hampi ipasavyo labda..... yeye anataka ambinue hadi aone shimo fala sana yule jamaa🤣🤣🤣🤣🤣
 
Alikuwa hampi ipasavyo labda..... yeye anataka ambinue hadi aone shimo fala sana yule jamaa🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣Sasa jamani jamaa anahudumia mwanamke na mtoto alafu hamjui tuu ujue mbususu ya mwanamke aliyezaa i akuwa tamu kinomaaa so jamaa anataka kufaidi mambo bby mama nae anampimia utamu. Inakera sana
 
Niliwahi mnunulia demu wangu chupi dozen 1 ila zote zinafanana rangi,
alilalamika sana kwann namnunulia chupi rangi Moja?
,,,akasema watu watamuonaje huko nje ?

AISEE!!,,nikajisemea kimoyomoyo hapa Sina mwanamke ni jamvi la wageni.
 
I can only be a good father not a good husband😅🙌
 
Nilimwambia atakae kuoa atafaidi hii miuno.

Hadi leo hatuongei sijui nilikosea wapi.
 
We utakuwa nzuri sema unajiweka low key au kama sio hivyo basi una sifa nzuri za kuvutia ndio maana jamaa kapagawa kwako maana anaona kama akikupoteza itakuwa ngumu kupata mwanamke kama wewe au zaidi yako
atakuwa chombo huyu. si unaona hata anavyoongea.
 
Binti alimpanga mama yake waniombe pesa ya matibabu ya baba yao(kwamba mzee kalazwa etc), mama yake akanipigia kunieleza hilo suala, Kijana nikajitutumua nikatuma fasta....but kuonesha najali nikaanza ku-force kutaka kwenda kumuona huyo mzee na mimi, kona kona zikaanza...nikalazimisha kwenda bhana😀😀😀nilichokutana nacho nilimuogopa yule binti, nikamuogopa mama yake, inshort nikaiogopa ile familia nzima🤣
 
Habari za weekend!

Kuna baadhi ya maneno watu wetu wa karibu wakiongea huwa yanatuumiza sana, sometimes inapelekea kupoteza interest ya kujenga maisha na huyo mtu.

Kuna mwanamke flani nilikuwa naye kwenye mahusiano takribani miaka 2, kuna siku bhana akaniuliza "hivi baby hata nikiolewa na mtu mwingine si tutakuwa tunakutana kisirisiri tunafanya mambo yetu?"

Kwa harakaharaka nikamjibu nikamjibu "ndio", ila ile kitu haikukaa vizuri kichwani mwangu, nilimwona kama mtu mwenye roho ya usaliti, kama anaweza kumfanyia mume wake hivyo si anaweza hata kunifanyia mimi.

Siku nyingine huyohuyo mwanamke akanambia maneno haya "Mimi sijali kuhusu matatizo yako, wewe ni mwanaume, wewe ndio inabidi ujali kuhusu matatizo yangu", baada ya hapo nikiwa simchukulii serious kabisa, wala sikutegemea mahusiano yetu yafike stage za kuoana.

Mwingine bhana alikuwa akiniomba hela afanye biashara, kuna siku alinieleza vizuri kabisa kuhusu hio biashara nikaipenda, nikamuahidi ntampa hela aanze, ilikuwa ni 1.5M.

Hio hela nilimpa kama baada ya wiki moja hivi, siku zilizofata nikawa nafatilia maendeleo yake na amefikia wapi, akawa tu ananiambia anasubiri vibali na issue zingine, mimi ilifika kipindi nikapotezea, kuna siku sasa mama ake akanipigia, ndio akaniambia kila kitu, ile hela bhana aliitumia kununua nguo, viatu, vipodozi, kabati la nguo na vikorokoro vingine,

Halafu ukizingatia sio mtu ambaye alikuwa hana nguo au anavaa vibaya, lahasha, hii kitu ilinifanya nipoteze interest kabisa na huyu mwanamke, nikawa namuona sio wife material kabisa, nilivoongea nae akasema sijui mambo hayakukaa sawa sijui kuna hela alizulumiwa, sababu kibao alitoa, nilimshangaa sana, hadi leo nikikumbuka nabaki nacheka tu.
Kuna huyu alikula sahani mbili za wali maharage af akashushia na bia bingwa chupa tatu....
 
Back
Top Bottom