MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
Nilitaka kuuliza hivi hiviKwa mwezi unalala na wanawake tofauti wangapi?
Na bado anajihesabia yeye ni msafi.Nilitaka kuuliza hivi hivi
Hapo sasa, ni sawa na kujitekenya na kucheka mwenyeweNa bado anajihesabia yeye ni msafi.
sifikiri kama suala la idadi ya wanawake naolala nao lina uhusiano na usafi wa wanawake naolala naoKwa mwezi unalala na wanawake tofauti wangapi?
Siez kulala na pisi mbovuUna uhakika hizo ni pisi Kali?
vya kuopoa ni betting Mkuu, lolote linakukutaUgonile,
sijajua ni kwangu tu au namna gani vipi. wanawake naokutana nao sikuiz wananuka midomo ni balaa, yani kila napojiambia hii Pisi ni kali na imenyooka sana siwez kuiacha iviivi nakutana na madudu.
Unaopoa bonge la Pisi unasema yes huyu leo naua kunako 5Γ6, mkifika ukijaribu romance stimu zote zinakata ila ukiangalia Mungu alivompendelea unaamua kufunika Kombe mwanaharamu apite.
Ladies, usafi ni kitu cha muhimu sana. kama mnavojitaidi kuosha huko kwa Bibi basi msisahau na reception.
Pengine hamjui ila ukijiona wewe keki mwanaume haez kukuacha basi % kubwa utaachwa kisa usafi, Mambo ya vizinga yanazungumzika ila sio usafi maana ni ngumu Mtu wako kukwambia "unanuka mdomo"
Astaghfirullah, this is too much.
Hebu weka picha yako uwaumbueUna uhakika hizo ni pisi Kali?
Waende Hospitali, ni ajabu sana mwanamke mrembo kunuka mdomoWengine wagonjwa mkuu!
Si ndio unamtibia unajitafunia mali yako saafi!Waende Hospitali, ni ajabu sana mwanamke mrembo kunuka mdomo
Ivi we unafikiri ni kazi nyepesi kumwambia Baba yako kajamba?sasa kama kuna kitu kinakukera kwake kwa nini usiongee naye na kujaribu kutatua tatizo? labda hata wewe unatoa harufu na anakuvumilia anashindwa kukwambia pia.
dawa ni kuongea β¦
Ukioa wewe inatosha mkuuKataa uzizi #zina haifai mkuu oa
πππKwa mwezi unalala na wanawake tofauti wangapi?