Mpenzi wako anajali usafi au mnavumiliana?

kama unaogopa kumwambia basi mnunulie ile sensodyne rapid action na listerin M/W plus mswaki mzuri wa sure unampelekea kama zawadi nahisi atajiongeza,,, kingine kabla ya Mechi unamchukua mnaenda wote bafuni unampa mswaki na wew unachukua mnaanza kuswakisha kwanza unamwambia asugue na ulimi na huu uwe utaratibu wenu atazoea taratibu tu mwanetu
 
Ushauri mzuri ila sina huo muda, nina my wangu kadhaa permanent hawana iyo shida ya harufu.
Hao ni wale madem ambao unajipangia kupiga kama mara 4 then utimke ila unaishia kupiga mara moja ukijitahidi sana mara mbili kulingana na usumbufu uliotumia kumpata.
 
Back
Top Bottom