Mpenzi wako anajali usafi au mnavumiliana?

una mda gani mjini..
 
kiukweli kusukutua mdomo pisi kali wengi ni zero kabisa, sijui wanajisahau au makusudi tu, binafsi hua sielewi. Yaani kajipiga 👄 lakini domo linatema hatari.

na huko chini nadhani wanaziosha mpaka wanawatoa bakteria wote wanaolinda mbususu na matokeo yake zinachacha haraka sana hasa wakivaa mavazi ya kiume kama vile suruali 🐒
 
Ila hili tatizo la kunuka mdomo limekua kubwa, sijui shida nini,
Ila sio ke wala Me hili tatizo lipo sana, mmmb
Bora unukishwe mdomo huko mtaani lkn sio chumbani. na vile unakuta mtu hajijui basi anataka cuddles na romance muda wote like wtf.!!
 
Dah halafu ya mdomo changamoto sana kuna ile umemuweka kifo cha mende halafu aheme mdomo akiuacha wazi aisee harufu mbaya inatoka unatamani umzabe mkofi we mwanamke mrembo halafu unanuka mdomo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…