Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Na bado wana kufanya uitwe Baba bora.Mpotezee
Huoni? Huna macho?Huu nao ni uzi tayari
Atapotezea wangapi!?Anakazwa na masela mtaani huyo piga chini
, wanawake ni wengi kuliko wanaume.
Alisikika konki mmoja wa jf
Waambie.Ila mda mwingine sisi wanaume tunazingua. Ina maana ukiwa na kipururu chako wewe unataka tu kumpanda mtoto wa watu kama farasi hutaki kusikia anaumwa?
As long as ni binadamu kuna kuumwa, kuna kuchoka na mambo mengine. Tujaribu kuelewana na kuvumiliana. Mda mwingine ukimwita ghetto labda alipo ana stress za maisha anakuja anahitaji maneno yakumfariji na sio kupelekewa moto mkuu.
Tusifanye kwichikwichi kuwa kipaumbele cha mahusiano. Kuna mambo mengi ya muhimu kuzidi hilo.
Kunywa soda kwa hela yako aiseeIla mda mwingine sisi wanaume tunazingua. Ina maana ukiwa na kipururu chako wewe unataka tu kumpanda mtoto wa watu kama farasi hutaki kusikia anaumwa?
As long as ni binadamu kuna kuumwa, kuna kuchoka na mambo mengine. Tujaribu kuelewana na kuvumiliana. Mda mwingine ukimwita ghetto labda alipo ana stress za maisha anakuja anahitaji maneno yakumfariji na sio kupelekewa moto mkuu.
Tusifanye kwichikwichi kuwa kipaumbele cha mahusiano. Kuna mambo mengi ya muhimu kuzidi hilo.
Kunywa soda kwa hela yako aisee
Umenena!!!
Umenena vyema.Ila mda mwingine sisi wanaume tunazingua. Ina maana ukiwa na kipururu chako wewe unataka tu kumpanda mtoto wa watu kama farasi hutaki kusikia anaumwa?
As long as ni binadamu kuna kuumwa, kuna kuchoka na mambo mengine. Tujaribu kuelewana na kuvumiliana. Mda mwingine ukimwita ghetto labda alipo ana stress za maisha anakuja anahitaji maneno yakumfariji na sio kupelekewa moto mkuu.
Tusifanye kwichikwichi kuwa kipaumbele cha mahusiano. Kuna mambo mengi ya muhimu kuzidi hilo.
Wee ni mwanaume na nusu[emoji123]Ila mda mwingine sisi wanaume tunazingua. Ina maana ukiwa na kipururu chako wewe unataka tu kumpanda mtoto wa watu kama farasi hutaki kusikia anaumwa?