Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Will you marry me? 😆😆Ila mda mwingine sisi wanaume tunazingua. Ina maana ukiwa na kipururu chako wewe unataka tu kumpanda mtoto wa watu kama farasi hutaki kusikia anaumwa?
As long as ni binadamu kuna kuumwa, kuna kuchoka na mambo mengine. Tujaribu kuelewana na kuvumiliana. Mda mwingine ukimwita ghetto labda alipo ana stress za maisha anakuja anahitaji maneno yakumfariji na sio kupelekewa moto mkuu.
Tusifanye kwichikwichi kuwa kipaumbele cha mahusiano. Kuna mambo mengi ya muhimu kuzidi hilo.