Will you marry me? ππIla mda mwingine sisi wanaume tunazingua. Ina maana ukiwa na kipururu chako wewe unataka tu kumpanda mtoto wa watu kama farasi hutaki kusikia anaumwa?
As long as ni binadamu kuna kuumwa, kuna kuchoka na mambo mengine. Tujaribu kuelewana na kuvumiliana. Mda mwingine ukimwita ghetto labda alipo ana stress za maisha anakuja anahitaji maneno yakumfariji na sio kupelekewa moto mkuu.
Tusifanye kwichikwichi kuwa kipaumbele cha mahusiano. Kuna mambo mengi ya muhimu kuzidi hilo.
I would like to but ______.Will you marry me? ππ
But what? Nitakupigia...... π€£I would like to but ______.
Fursa.But what? Nitakupigia...... π€£
Okay naisubiri simu yako silali leo.But what? Nitakupigia...... π€£
Ukiona wa hivyo ujue hakupendi anakuona tu sex toy.Wee ni mwanaume na nusu[emoji123]
Unakuta limwanaume linadili na mbunyee tu, hana kingine kwako zaidi ya sex!
Tupaa kulee [emoji57][emoji57]
π π π πAnakazwa na masela mtaani huyo piga chini wanawake ni wengi kuliko wanaume.
Alisikika konki mmoja wa jf