Mpenzi wako/mke anapozimia katika msiba

Mpenzi wako/mke anapozimia katika msiba

Fainting is a malfunction of the brain - a shutdown response - caused by a change in blood pressure linked in with the sympathetic nervous system. This is also called the 'fight or flight' response, the change in physiology caused by an environmental stress.

When you see something which creates some sort of sympathy in your body with somebody in pain or discomfort (even the sight of blood can trigger this), your body releases hormones which restrict blood to the digestive system, accelerate the heart and breathing and sends blood to the muscles. Other responses could include increasing blood flow to the skin (blushing) or the reverse, restricting blood flow to the extremities and limiting it to the core (why some people grow pale).

In the days when ladies wore corsets, the squeezing of the abdomen increased blood pressure, making it very easy for women to faint under the slightest duress. Otherwise there is no reason why women should faint more than men.
 
Kwa watu wa karibu wa kanumba ni kawaida hata kuna mshikaji wake alilia sana,hata Jb alilia kasoro ray tu ndio ajalia,kwa wema na uwoya ni lazima wazimie coz walikua mtu wao wa karibu sana,na ikizingatiwa SK ndio aliowatoa na ndio aliwapa maisha so wakifikiria hatma ya maisha yao kwa sana ndio network inakata na kujikuta waki-job hundred.
 
jamani mm nafikiri jambo hili ni mtambuka sana,ila nitajaribu kulielezea kwa nionavyo mimi. kwanza kuzimia kunaweza kusababibishwa na woga au uwezo mdogo alionao mtu juu ya kuhimili hisia zake hasa katika mambo magumu kama misiba au ugomvi au ugonjwa. pia yawezekana ikawa ni mtu wa karibu yake sina maana ya mpenzi wake bali ni mtu aliyeubeba moyo wake katika jambo fulani kama vile ni labda ni mchezaji mzuri sana wa mpira au mwimbaji mzuri wa nyimbo nk. Swala kuzimia katika msiba wa mtu haina maana kuwa ana mahusiano ya kimapenzi na muhusika (marehemu). Angalizo ni kwamba wewe untakiwa ujue hobbies za mpenzi wako ndipo utakapojua kwanini anazimia
 
Mimi ijapokuwa sio mwanamke lakini niliwahi zimia kwenye msiba wa mke wa jirani yangu kilichonifanya nizimie wakati wa kuaga ni kuwa nilikumbuka jinsi yule jirani yangu alivyokuwa anapendana mno na mke wangu kiasi kwamba ilinifanya nimkumbuke mke wangu na nililia sana mpaka watu walishangaa. Hivyo wengine huwa wanakumbuka matukio ya nyuma
 
Nafikiri wengi hawajaielewa mada....
Kudadavua ni hiviii.. uko na my wife wako kwenye msiba wa mkaka jirani yenu alafu analia mpaka anazimia... imekaa vipi hiyo.
Du.! :shock::shock: ni noma aisee kwa kuongezea jirani yako ana sifa ya kungonoka balaaa..🙂
 
Back
Top Bottom