Mpenzi wako sio ndugu yako

Mpenzi wako sio ndugu yako

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
9,016
Reaction score
24,650
Mwanaume kumbuka kwamba uyo Lusifa unaemuita mke, mchumba, baby n.k sio ndugu yako uyo, ni stranger tu ambae umekutana nae ukubwani akakubali kujiweka kwako kwa masilahi yake, ana uhuru wa kufanya maamuzi ya kukuacha bila kujali sacrifices zote ulizofanya kwa ajiri yake, na kama cheti cha ndoa kipo atapata na mgao wa mali zako.

Hata siku moja mwanaume usifanye kosa la kumweka mwanamke awe katikati ya pesa, furaha au malengo yako.

Understand that a woman live in the moment, everything she is telling you is based on the moment, her loyalty is pledged to the feelings of the moments, if you fail to know this now you will suffer in the long run.

Stop investing in a woman, stop trying to build your life around a woman, it will not end well for you, a waman's loyalty is never guaranteed at any time.

I love you, i love you my brothers.
 
Wanawake na nyie mtafute Msemaji wenu, Sidhani siku zote mahusiano yanavunjwa na mwanamke tu , Tunazungumzia vipi tunaodate na wanawake kutimiza haja zetu na kisha kuwaacha tukiwa tumewapotezea muda l??
 
Wanawake wana wasemaji na watetezi kila kona. Ustawi wa jamii, vyombo vya ulinzi, mamlaka, wanaharakati, sheria, jamii na mifumo yote ya kidunia kote uko mwanamke ndie anapewa kipaumbele, hii ni tofauti na mwanaume ambae akiyatimba hana mkombozi anaishia kuwa laughing stock tu.

Tunaishi kwenye ulimwengu ambao upo corrupted na ferminism.

Kumbuka ndoa ikivunjika ni win-win kwa mwanamke na loss kwa mwanaume
 
Kwamba kawa Lusifa.Tatizo mkishaumizwa ndio mnaanza kupost vi Uzi vya kutia huruma na hisia, vinginevyo ni Wabishi sana kusikia.
Unamkuta jamaa anahonga sana unamshtua bro mbona unazidisha. Demu mwenyewe analiwa nje? anakwambia Oya acha wivu, usituingilie....That is My Life, Leave me Alone its my love.

Akishapigwa sasa anakuja kuita Wanawake Zetu wazuri eti ma Lucifer, Lucifer ni yeye mwenyewe aliyeshobokea mapenzi akakosa akili.
 
Wanawake na nyie mtafute Msemaji wenu, Sidhani siku zote mahusiano yanavunjwa na mwanamke tu , Tunazungumzia vipi tunaodate na wanawake kutimiza haja zetu na kisha kuwaacha tukiwa tumewapotezea muda l??
Hiyo ni wewe mimi nadhani uzi umewekwa kwa wale waliojichagulia hiyo jinsia permanently wanaishi nao majumbani mwao.
 
Kwamba kawa Lusifa.Tatizo mkishaumizwa ndio mnaanza kupost vi Uzi vya kutia huruma na hisia
Naona penzi limekolea kijana, hao wanaoleta vipost vya huruma kuna wakati nao penzi lao lilikua moto moto pia.
 
Unamkuta jamaa anahonga sana unamshtua bro mbona unazidisha. Demu mwenyewe analiwa nje? anakwambia Oya acha wivu, usituingilie....That is My Life, Leave me Alone its my love.

Akishapigwa sasa anakuja kuita Wanawake Zetu wazuri eti ma Lucifer, Lucifer ni yeye mwenyewe aliyeshobokea mapenzi akakosa akili.
Sawa nice guy, uyo mwanamke wako mzuri sio Lusifa
 
Back
Top Bottom